Kama Mnyeti tulivyompigania.Chadema watampigania asijali Sana.!
Chadema watampigania asijali Sana.!
Huwa namuamini sana Kigwa ila kwa namna anavyotaka kufanya sasa naanza kuingiwa na hofu na nina amini huyu sio Kigwa yule wa mitizamo mwanana ninaye mfahamu. Ngoja tuone kwa kuwa tunasubiri.Kwa ufupi
Waziri huyo amemshukia Nyalandu akidai kuwa ameipotezea Serikali mabilioni
By Daniel Mjema, Mwananchi
Dodoma. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangala amemlipua waziri wa zamani wa wizara hiyo, Lazaro Nyalandu akimtuhumu kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Akichangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 207/2018, Dk Kigwangalla ameiagiza Takukuru na polisi kumchunguza Nyalandu.
Dk Kigwangala amesema Nyalandu aliikosesha Serikali mapato ya Sh32 bilioni kwa miaka miwili aliyohudumu katika wizara hiyo kwa kushindwa kusaini sheria ya tozo kwa hoteli za kitalii.
Mbali na tuhuma hiyo, pia alimtuhumu kutumia helkopta ya mwekezaji mmoja raia wa kigeni, kipindi cha kampeni zake za kugombea urais 2015, wakati kampuni ya raia huyo ilikuwa ikituhumiwa kwa ujangili.
Hata hivyo wakati Kigwangala akitoa tuhuma hizo tayari Nyalandu alishasema kuwa tuhuma ambazo zimeanza kuibuliwa mitandao dhidi yake si za kweli bali zinalenga tu kumchafua.
Akizungumza na Mwananchi hivi karibuni alishangaa iweje ziibuliwe sasa zaidi ya miaka miwili tangu aachie uwaziri.
siku hizi hata Lowasa ni msafi kweli kweli sio!!Ukiona mtu anaihama CCM ujue amejitafiti na ni msafi kweli kweli
Vijna wanapenda 'witch hunting'Kwa ufupi
Waziri huyo amemshukia Nyalandu akidai kuwa ameipotezea Serikali mabilioni
By Daniel Mjema, Mwananchi
Dodoma. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangala amemlipua waziri wa zamani wa wizara hiyo, Lazaro Nyalandu akimtuhumu kwa matumizi mabaya ya madaraka.
Akichangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 207/2018, Dk Kigwangalla ameiagiza Takukuru na polisi kumchunguza Nyalandu.
Dk Kigwangala amesema Nyalandu aliikosesha Serikali mapato ya Sh32 bilioni kwa miaka miwili aliyohudumu katika wizara hiyo kwa kushindwa kusaini sheria ya tozo kwa hoteli za kitalii.
Mbali na tuhuma hiyo, pia alimtuhumu kutumia helkopta ya mwekezaji mmoja raia wa kigeni, kipindi cha kampeni zake za kugombea urais 2015, wakati kampuni ya raia huyo ilikuwa ikituhumiwa kwa ujangili.
Hata hivyo wakati Kigwangala akitoa tuhuma hizo tayari Nyalandu alishasema kuwa tuhuma ambazo zimeanza kuibuliwa mitandao dhidi yake si za kweli bali zinalenga tu kumchafua.
Akizungumza na Mwananchi hivi karibuni alishangaa iweje ziibuliwe sasa zaidi ya miaka miwili tangu aachie uwaziri.
bila mihemko yoyote..hebu elezea hapa Lowasa amefanya kosa lipi?siku hizi hata Lowasa ni msafi kweli kweli sio!!
Hizi ni HOJA dhaifu sana.Kwahiyo naye chenge msafi?mbona mliendelea kumwita fisadi na ushahid mlikua nao badala ya kumpeleka mahakaman?Au hamkua na ushahid?bila mihemko yoyote..hebu elezea hapa Lowasa amefanya kosa lipi?
na kwanini hadi leo hajapelekwa kwenye mahakama ya mafisadi?
Ujue msiwe mnaonge atuuuu kwa sababu Mungu amewapa akili za bure