Kigwangala nae anatembea na kifimbo

Kigwangala nae anatembea na kifimbo

cerengeti

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2011
Posts
3,879
Reaction score
1,634
Baada ya kukatwa jina kwenye mkutano mkuu wa ccm wa urais sasa kaamua kutembea na kifimbo.
 

Attachments

  • 1442314545943.jpg
    1442314545943.jpg
    52.2 KB · Views: 430
jamaa inabidi apige kazi usiku na mchana huku jimbon kwetu kwani kashikwa pabaya
 
Jamaa wanavituko hawa

Huyu nae kifimbo.

Mwengine skafu.

Hahahajaj full burudani
 
Nimemuona kwa kweli nimeganda kabisa, tangu lini mambo haya
 
Back
Top Bottom