Elections 2010 Kigwangala akataliwa mbele ya Kikwete - Nzega

Bado nashangaa sana; huyu Dr. Kigwangala ni nani hasa kiasi cha wazee wazima CCM kuwa radhi kujikanyagakanyaga hadharani kuhusu uraia wa Bashe ili tu kumpitisha kiwizi tena baada ya kutupa sababu muflisi za kumruka Selelii. Yaani wanakubali aibu yote hiyo kwa ajili ya mtu tu au ni zaidi ya hapo? He surely has to be some force to reckon with. :A S confused:

.
Hii ni chuki binafsi ya Jk aliyopandikiziwa na mwanae Riz1 kwa msukumo wa Makamba. Ndio maana aliona aibu ya kumpandisha jukwaani kwani angeyala matapishi yake mwenyewe maana ndie aliyetamka ndani ya NEC kuwa Bashee sii raia. Hola hola wana Nzega ikaangeni ccm kwa mafuta yake yenyewe yaliyotiririka kutoka kwenye kinywa cha mwenyekiti wao. Mwonyesheni kwamba nec haina sauti juu ya wananzega. Pia msisahau kumpa Dr Slaa kura zenu zooote!
 
Back
Top Bottom