saimon111
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,736
- 1,355
Baada ya kuweka post iliyokua kama inawadhikahi vijana wengi wenye digrii lakini wamekosa ajira
Sasa hivi amekuja kivingine na post ya kuwaambia vijana kuwa walimuelewa vibaya kuhusu ujasiliamali.
My concern:
Kigwangala matatizo ya kujiajiri vijana wa kitanzania hayatatuliwi tweeter wala facebook, kama kweli unataka kuwasaidia vijana basi wawezeshe hata kwenye vikundi tu.
Au ili wewe huwe mfano bora basi achia ngazi ya ubunge na uwaziri then njoo huku mtaani tufanye ujasiliamali hapo nadhani utaandikwa mpaka kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa kuwa mfano bora.
Lakini sio unakaa kwenye VX V8 unapigwa kipupwe kwa pesa za walipa kodi then unaanza ku-tweet maneno ya dhihaka kwa vijana ambao hawajapata ajira.