Ukitaka aje haraka.....sema Dr Mwaka amehamia Arusha karibu na Mount Meru kesho mapema atakuwa hapo.....ndipo mnamwambia shida yenu ya Mount Meru!!!
Sawa na policcm waambie kesho ukawa wataandamana......watakesha hapo ndio mnawaonyesha majambazi.....watarudi mbio wajidai wanafuata " maji" kama zimamoto!! Chezea unafiki wewe?