Kigwangala achana na Dr Mwaka tembelea Mount Meru Hospital

pazzy

Senior Member
Feb 5, 2012
194
60
Mh Waziri changamoto ninyingi Kwenye hospital hii lkn Kubwa kuliko zote nikwanini huduma ya X ray lazima twende Kwenye kituo binafsi cha X ray Center ? au serikali Inahisa hapo ? au nidili ya Watu ? Onyesha Uzalendo wako kwenye Kupunguza Changamoto kwenye taasisi za Uma Ili tuendelee Kuiunga Mkono na Kuismini serikali yetu.
 
dah poleni
 
Ukitaka aje haraka.....sema Dr Mwaka amehamia Arusha karibu na Mount Meru kesho mapema atakuwa hapo.....ndipo mnamwambia shida yenu ya Mount Meru!!!
Sawa na policcm waambie kesho ukawa wataandamana......watakesha hapo ndio mnawaonyesha majambazi.....watarudi mbio wajidai wanafuata " maji" kama zimamoto!! Chezea unafiki wewe?

moja ya hospitali zilizooza ni pamoja na Mt meru siju huwa SERIKALI hailioni hilo
 
Acha amkabili Dr mwaka maana mwaka ndiyo chanzo cha matatizo ya afyaa tanzaniaaaa
Ubovu,uozo wa hospital Seth zote kudodora chanzo ni Dr mwakaaaaaa

Ovaaa
 
Ukitaka aje haraka.....sema Dr Mwaka amehamia Arusha karibu na Mount Meru kesho mapema atakuwa hapo.....ndipo mnamwambia shida yenu ya Mount Meru!!!
Sawa na policcm waambie kesho ukawa wataandamana......watakesha hapo ndio mnawaonyesha majambazi.....watarudi mbio wajidai wanafuata " maji" kama zimamoto!! Chezea unafiki wewe?
Tutamtuma Mh Mrisho Gambo Dc kijana atue hapo fasta
 
Ukitaka aje haraka.....sema Dr Mwaka amehamia Arusha karibu na Mount Meru kesho mapema atakuwa hapo.....ndipo mnamwambia shida yenu ya Mount Meru!!!
Sawa na policcm waambie kesho ukawa wataandamana......watakesha hapo ndio mnawaonyesha majambazi.....watarudi mbio wajidai wanafuata " maji" kama zimamoto!! Chezea unafiki wewe?
Hahahaaaa!!! Duh!!! Aibu sana hii
 
Mh Waziri changamoto ninyingi Kwenye hospital hii lkn Kubwa kuliko zote nikwanini huduma ya X ray lazima twende Kwenye kituo binafsi cha X ray Center ? au serikali Inahisa hapo ? au nidili ya Watu ? Onyesha Uzalendo wako kwenye Kupunguza Changamoto kwenye taasisi za Uma Ili tuendelee Kuiunga Mkono na Kuismini serikali yetu.

hiyo hospitali sijui ni kwa nin watu hawaoni matatizo yake inakusanya hela nyingi sana lakini sijui zinaishia wapi
bado huduma za msingi unakuta hamna
 
Kwi kwi kwi kwi lol!

Ukitaka aje haraka.....sema Dr Mwaka amehamia Arusha karibu na Mount Meru kesho mapema atakuwa hapo.....ndipo mnamwambia shida yenu ya Mount Meru!!!
Sawa na policcm waambie kesho ukawa wataandamana......watakesha hapo ndio mnawaonyesha majambazi.....watarudi mbio wajidai wanafuata " maji" kama zimamoto!! Chezea unafiki wewe?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom