Bro ita a place niko na desire kubbwa mno ya kuwekeza, lakini kinachonivuja moyo ni hii serikali, haielweki kabisa, mara kubadilisha sheria, mara kuteka na kutia hofu, mara hata wakuu wa mikoa na wilaya kuweka wawekezaji ndani sababu ya kodi ila hio sio kazi yao, hio ni kazi ya TRA, oohhh how i wish things can better in tz, kigoma inaweza kuwa logistics hub kubwa hasa, na pia mazao kaa palm oil, fish na maize hizo zinaweza kuzwa na kuuzwa huko haswa European union, tatizo ni sheria na utwala baya