Me niko Dar, ila I Promise Kaunga, nitakuja Kigoma kwa ajili hiyo tu.
P'se niweke kwenye list yenu mpendwa.
Me niko Dar, ila I Promise Kaunga, nitakuja Kigoma kwa ajili hiyo tu.
P'se niweke kwenye list yenu mpendwa.
Bravo Madam N
ahahahahhaha mi lazima nije na The Boss ngoja nikamsololeshe !niazime kilemba basi!ili nimuonyeshe hilo sswagger nitakalokuwa nalo hiyo siku aingie line!
Msiache swimming suits zenyu! LOL
Kaunga, nilisikia kuwa kuna barabara inajengwa kwenda Gombe, haijamalizika? Nlisikia hilo miaka 3 ilopita na Gombe si mbali.
Nahofia mnaweza kuwa wachache zaidi kwa sababu ya wengine kuogopa usafiri wa Boti.
Nawatakia heri, ningekuwa home nsingekosa hiyo tripu, maana ingawa huko ni home, sijawahi kwenda huko wala kusafiri kwenye maji ya Ziwa Tanganyika.
The Boss ni typical mnyamwezi muoga wa maji yule; hata kuogelea kwenye majaruba au bwawa la Igombe alishindwa! LOLahahahahhaha mi lazima nije na The Boss ngoja nikamsololeshe !niazime kilemba basi!ili nimuonyeshe hilo sswagger nitakalokuwa nalo hiyo siku aingie line!
Bravo Madam N