Kigoma: Wahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumteka mtoto na kumuua baada ya kukosa Tsh Milioni 5

Msumari umechoma kote kote

Kwa akili yako inamaana kwa wa dini yako akiwa shoga na nyie wote mliobaki ni mashoga,,,,,na majambazi wote waliopo gerezani wa kutoka katika dini yako na wewe pia ni jambazi mwenzao

Halafu unajifariji eti imepenya,,,,, mjaa chuki tu tena kuchukia kwa wajaa laaana
 
Huyo alievaa hilo gauni huwa roho zao ni ngumu sana
ajabu ni kuwa kwenye nchi hii, maeneo wanayotoka hao wavaa 'magauni' kama ulivyosema ndiko kunakoongoza kwa amani na ukosefu wa vitendo vya kishenzi..........naiachia nafsi yako ipambane na ukweli au uongo wa hili!
 
Dah. Kuna watu makatili mpaka unaona kama adhabu ya kuwanyonga pekee haiwatoshi..
 
Dada punguza chuki, huko mbeya makanisa yamejaa pomoni kila leo mauaji ya kutisha.
Kumbuka pia muuaji wa Ben saanane, Azori Gwanda na wengine wengi walikuwa wavaa misalaba
Nawewe punguza hasira umeona mtu kavaa gauni hapo?
 
Back
Top Bottom