Hujui usemalo, nyamaza milele. kama huelewi usije na hoja kuwa kitu hiki ni kibaya kisa huelewi, nyamaza, hujui kwa nini niliandika vile. waliosoma na kuelewa hajauliza upuuzi kama wako huu
Wale wote wanaotoa maoni kwa kudhihaki watu wa Kigoma mkome kabisa. Hivi mnajua upinzani wa kweli uko Kigoma? Hivi leo ni mkoa gani wenye wabunge wengi wa upinzani kama siyo Kigoma?
Usaliti wa ZZK na wasaliti wengine toka Kigoma msiutumie kuhukumu watu wote wa Kigoma.
Acheni propaganda za kijinga
wewe ndo unawasemea wanakigoma??? ivi ww u.awafaham au unawaskia..... xaxa tumeshaamua kuingia ACT kutokana na ubaguz unaoendelea ndan ya CDM
Kila mtu anakushangaa wewe mleta mada kwani ACT si chama? .Vyama vyote vilianza vikiwa vichanga vikakua. Kwa taarifa yako niko maeneo ya Musoma na Tarime kikazi ACT kinapokea wanachama kwa kasi ya ajabu na walio wengi wanalipia kadi zao kwa miaka 10. sijawahi ona chama kinachokwenda kwa spidi ya namna hii labda TANU ya Uhuru. Ama kweli wananchi wamemkumbuka Baba wa Taifa mwl. J.K. Nyerere
ACT CHAPA MWENDO IKIWEZEKANA CCM IONDOKE MWAKA HUUHUU
Act watafanya kampeni kwenye majimbo ya ukawa ya akina mkosamali kafulila na moses machali?na kama watafanya kampeni watatumia hoja zipi za kuwaondoa kwenye majimbo yao?
Je kina moses machali na kina kafulila je sio wana kigoma?
Ndio Rais wa mkoa wa kigoma. Km unabisha kutana na Muha yeyote barabarani muulize habari za ZZK atakwambia ndio wanamtegemea.
Kila mtu atawashangaa watu wa Kigoma akisikia kuwa watu wa Kigoma wamejiunga kwa wingi na chama kipya cha siasa cha ACT. Ingawa kila mtu anayo haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa katika mfumo wa vyama vingi lakini haki hiyo lazime iwe na uhalisia ndani yake. Zitto alipata umaarufu kupitia chadema chama ambacho sasa kimekuwa hadi kufikia kuwa chama kikuu cha upinzani nchini ambacho kinaogopwa sana na chama cha CCM pamoja na watu wengine ambao wanadhani kuwa kama CCM kitashindwa na maslahi yao nayo yatakuwa yako hatarini.
Chadema pamoja na Zitto ndani ya chadema na mikakati yao walikuwa wanakaribia sana kulishika makalio dume la nyati. Juhudi hizi za kulipapasa dume makalio zinadhoofishwa na akina Zitto na washirika wake kwa kuanzisha tuhuma nzito kwamba chama ambacho alijiunga nacho akiwa na umri wa miaka 16 tu eti hakina demokrasia. Hii sio kweli hizo ni juhudi mahususi za kulikwepesha dume na aibu ya kushikwa makalio yake kirahisi japo kwa kuondoa angalau hata kura 100 tu kutoka kwa wapinzani.
Wananchi wa Kigoma kujiunga na chama kinda cha ACT kwa kumfuata Zitto watakuwa wanaingia kwenye historia ya watanzania waliopinga na kuchelewesha kuondoa dhuluma nchini sawa na akina Zuberi Mtemviu enzi za TANU na Nyerere. Zitto anatumia ukabila (U-Kigoma) na uelewa mdogo wa wananchi katika kufanya biashara ya kuchelewesha kuing'oa CCM madarakani.
Hakuna mtu mwenye akili lazini ambaye ataamini kuwa Zitto amefanya yale aliyoyafanya ya kudai uongozi ndani ya chadema kwa njia za pembeni na kukipeleka chama mahakamani kwasababu ndani ya chadema hakukuwa na demokrasia ya kutosha, hii sio bahati mbaya tu, bali kuna jambo.
Kigoma kuweni macho na wanasiasa hawa wanaowarudisha nyuma juhudi zenu za kutafuta nafuu za kisiasa kwa kuanzisha vyama vipya vitakavyowachelewesha kuwafikisha nchi ya ahadi. Kataeni kuwa ma-ndondocha. Binafsi ninawasikitikia wananchi watakaonaswa na mtego wa kitoto kama huu kwa kujiunga na ACT.
Si ajabu ukasikia akina mkosamali kafulila na moses machali wameenda ACT au hata kurudi CCM kabisa. Kama Warid Kabour karudi CCM wao watashindwaje? ni dau tu likiongezwa yote yanawezekana
Wadau amini usiamini ukawa ina nguvu kigoma kuliko act,ukitaka kugundua hilo fanya utafiti mwenyewe na utapata jibu zuri
Watu wengi wanazungumza ukawa bila kufanya tafiti wanashindwa kutambua kuwa ukawa ni muunganiko wa vyama vinne vyenye nguvu kigoma kuliko mkoa mwingine wowote ule ndani ya tanzania
Subirini october ndo mtaamini vizuri kuwa Kigoma ni mwisho wareli.Watu hatuangalii chama wala ukawa.
Me mwenyewe sijawahi kuwaamini wachaga kwani niwazurumatii balaa, wakiona pesa wapo tayar kukutoa roho, je wakiingia ikulu c ndo wananchi watakula nyasiii
Kila mtu atawashangaa watu wa Kigoma akisikia kuwa watu wa Kigoma wamejiunga kwa wingi na chama kipya cha siasa cha ACT. Ingawa kila mtu anayo haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa katika mfumo wa vyama vingi lakini haki hiyo lazime iwe na uhalisia ndani yake. Zitto alipata umaarufu kupitia chadema chama ambacho sasa kimekuwa hadi kufikia kuwa chama kikuu cha upinzani nchini ambacho kinaogopwa sana na chama cha CCM pamoja na watu wengine ambao wanadhani kuwa kama CCM kitashindwa na maslahi yao nayo yatakuwa yako hatarini.
Chadema pamoja na Zitto ndani ya chadema na mikakati yao walikuwa wanakaribia sana kulishika makalio dume la nyati. Juhudi hizi za kulipapasa dume makalio zinadhoofishwa na akina Zitto na washirika wake kwa kuanzisha tuhuma nzito kwamba chama ambacho alijiunga nacho akiwa na umri wa miaka 16 tu eti hakina demokrasia. Hii sio kweli hizo ni juhudi mahususi za kulikwepesha dume na aibu ya kushikwa makalio yake kirahisi japo kwa kuondoa angalau hata kura 100 tu kutoka kwa wapinzani.
Wananchi wa Kigoma kujiunga na chama kinda cha ACT kwa kumfuata Zitto watakuwa wanaingia kwenye historia ya watanzania waliopinga na kuchelewesha kuondoa dhuluma nchini sawa na akina Zuberi Mtemviu enzi za TANU na Nyerere. Zitto anatumia ukabila (U-Kigoma) na uelewa mdogo wa wananchi katika kufanya biashara ya kuchelewesha kuing'oa CCM madarakani.
Hakuna mtu mwenye akili lazini ambaye ataamini kuwa Zitto amefanya yale aliyoyafanya ya kudai uongozi ndani ya chadema kwa njia za pembeni na kukipeleka chama mahakamani kwasababu ndani ya chadema hakukuwa na demokrasia ya kutosha, hii sio bahati mbaya tu, bali kuna jambo.
Kigoma kuweni macho na wanasiasa hawa wanaowarudisha nyuma juhudi zenu za kutafuta nafuu za kisiasa kwa kuanzisha vyama vipya vitakavyowachelewesha kuwafikisha nchi ya ahadi. Kataeni kuwa ma-ndondocha. Binafsi ninawasikitikia wananchi watakaonaswa na mtego wa kitoto kama huu kwa kujiunga na ACT.
utafiti unaonyesha kuwa mkoa wa kigoma bado ni mali ya ukawa
katika majimbo ya mkoa wa kigoma mpaka tunaenda mitamboni ukawa inashilikilia majimbo manne kwa hiyo chama chochote kitakachotaka kubomoa nguvu ya ukawa mkoani kigoma kitatumia rasilimali nyingi sana au kutumia ushawishi wa kuwashawishi baadhi ya wana ukawa kujiunga na act je itawezekana?
Zitto ni zaidi ya waha wote
Sijawahi kumuamini mtu wa Kigoma...