Masalu Jacob JF-Expert Member Joined Jul 26, 2017 Posts 1,436 Reaction score 1,627 Nov 17, 2025 #1 Habari Tanzania ! Unajua Mkoa wa Kigoma ni eneo linalopendwa sana hapa nchini licha ya kuwa na maendeleo vidocho ila unapendwa sana na hata watu wake ni wema sana. Ila sasa Kigoma muache kudeka deka inatakiwa muwe mnajiongeza. Nawapenda Kigoma. Bye.
Habari Tanzania ! Unajua Mkoa wa Kigoma ni eneo linalopendwa sana hapa nchini licha ya kuwa na maendeleo vidocho ila unapendwa sana na hata watu wake ni wema sana. Ila sasa Kigoma muache kudeka deka inatakiwa muwe mnajiongeza. Nawapenda Kigoma. Bye.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,265 Reaction score 14,511 Nov 17, 2025 #2 Ndio wapi huko wanapotoka wauza vyombo mjini.