establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,448
Duuu hapa nimekumbuka mbali hapa ni Katosho nini?
Masharti ya mgangaHii picha binafsi naona inastahili Tunzo ya kimataifa. jamaa anaendesha baiskeli juu ya reli huku treni linakuja kwa kasi nyuma yake na wala haogopi
SOURCE: ISSA MICHUZI BLOG