ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Hii ikoje?yaani mmeamua kumrudisha bungeni Nswazugwako wa CCM na kuwaacha makamanda wazalendo wapiganaji akina Mkosamali,Kafulila David na Machali.
Hivi hamkuona uchapakazi wao? kweli hamkuona changamoto zao bungeni? kweli penye miti hakuna wajenzi!
R.I.P Mh Deo filikunjombe na pole sana Mh Wenje kwa lililotokea Mwanza.