Bhutimbaru
Member
- Jun 22, 2015
- 15
- 11
Sijui kama kiongozi mkuu wa ACT anajua jina hili , ila kwa kuwa ana tabia za kuchochea na kukaa mbali anao wacha nyuma watakuwa wamesha mweleza.
Hapa kigoma sisi hatumwita msaliti hapana . Hapa anaitwa TIGO maana ni mtandao ambao hauna uhakika unakuja na kupotea muda wowote.
Kwa maamuzi ya ndugu Zitto kuja kugombea Kigoma mjini ajiandae kuja na debe la mafanikio kwanza tokea jimboni kwake.
Pia aje atueleze anamtumia nani na naomba akifika hapa rasmi aache lugha za ukanda, enye harufu ya udini. Aje atueleze kwa nini amemua kuja kugombea Kigoma mjini na atuonyeshr tofauti alioyo peleka jimboni kwake .
Tuna maswali mengi mno pamoja na kwa nini kabadili kauli ya
1.Sitagombea tena ubunge nitafanya mambo mengine
2.Nitakuwa wa mwisho kutoka CHADEMA, lakini anakwenda mahakani akitafuta namna ya kuondoka CHADEMA
3.Kwa nini akiamua kutengeneza Chama ndani ya Chama
4.Kwa nini anasema alifukuzwa Chadema wakati alijiandaa kuondoka a) kwa kuunda Chama b) Kwa kwenda mahakamani .
Mengine tutamuuliza hapo hapo wakati ukifika .