Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Komaa Davie,majimbo mengi jamaa wamefanya huo uhuni.Mungu mlinde huyu kijana dhidi ya Firauni.Mbatia tunakutaka uende mara moja kumsaidia kijana wetu,ni lazima sio ombi,c.c Ritz
 
Last edited by a moderator:
Kwanza Mkuu wa Mkoa Kigoma Kanali Issa Machibya na Mkuu wa Wilaya Mrisho Gambo walifanya kampeni kubwa na vitisho kwa wananchi wakitumia polisi.
Pamoja na hujuma zote hizo bado majumuisho kwa fomu za mawakala nimeongoza kwa zaidi ya kura 2435.

Kwa kujua hilo jana mgombea wa ccm Hasna Mwilima amekuja kukataa matokeo ya baadhi ya kata na kutaka zihesabiwe upya.

Nikakataa kwa nguvu zote na nikamuonya msimamizi ache kupokea maelekezo ya Mkuu wa Mkoa.

Msimamizi akamua kusitisha zoezi la majumuisho na kwamba anamwandikia barua Mkurugenzi wa uchaguzi taifa kwa mwongozo.
Msingi wa kukataa kuhesabu upya matokeo ni ukweli kwamba fomu za mawakala tunazo na hazina kasoro.ccm hawana fomu za mawakala wao.

Lakini sababu ya pili sina imani na masanduku kwamba hayajachakachuliwa kwani tangu baada ya kupiga kura yalikuwa chini ya polisi na tume wenyewe bila wakala. Na hili linakuwa na uzito kwasababu ya taarifa za magari ya kura feki yaloingizwa chini ya usimamizi wa mkuu wa mkoa na wilaya
Msimamo wangu ni kwamba sipo tayar kufungua masanduku na kuhesabu upya ni bora msimamizi akili ameshindwa kusimamia zoezi na uchaguzi ufutwe kuliko kuhesabu masanduku ambayo sina hakika nayo.

Naomba umma ujue haya kwa ufafanuzi wa kinachoendelea kwani mpaka sasa wamejaza polisi eneo hili kiasi cha kutisha.

Tulianza na Mungu na Hakika tunamaliza na Mungu.
David Kafulila
Funzo kwa wenje siku zijazo.
 
Hii strategy ingefaa kutumika majimbo mengine.
Polisi na halmashauri sio wa kuwaamini.
Komaa Kafulila.
 
Kwanza Mkuu wa Mkoa Kigoma Kanali Issa
Machibya na Mkuu wa Wilaya Mrisho Gambo
walifanya kampeni kubwa na vitisho kwa
wananchi wakitumia polisi.
Pamoja na hujuma zote hizo bado majumuisho
kwa fomu za mawakala nimeongoza kwa zaidi ya
kura 2435.
Kwa kujua hilo jana mgombea wa ccm Hasna
Mwilima amekuja kukataa matokeo ya baadhi ya
kata na kutaka zihesabiwe upya.
Nikakataa kwa nguvu zote na nikamuonya
msimamizi ache kupokea maelekezo ya Mkuu wa
Mkoa.
Msimamizi akamua kusitisha zoezi la majumuisho
na kwamba anamwandikia barua Mkurugenzi wa
uchaguzi taifa kwa mwongozo.
Msingi wa kukataa kuhesabu upya matokeo ni
ukweli kwamba fomu za mawakala tunazo na
hazina kasoro.ccm hawana fomu za mawakala
wao.
Lakini sababu ya pili sina imani na masanduku
kwamba hayajachakachuliwa kwani tangu baada
ya kupiga kura yalikuwa chini ya polisi na tume
wenyewe bila wakala. Na hili linakuwa na uzito
kwasababu ya taarifa za magari ya kura feki
yaloingizwa chini ya usimamizi wa mkuu wa
mkoa na wilaya
Msimamo wangu ni kwamba sipo tayar kufungua
masanduku na kuhesabu upya ni bora msimamizi
akili ameshindwa kusimamia zoezi na uchaguzi
ufutwe kuliko kuhesabu masanduku ambayo sina
hakika nayo.
Naomba umma ujue haya kwa ufafanuzi wa
kinachoendelea kwani mpaka sasa wamejaza
polisi eneo hili kiasi cha kutisha.
Tulianza na Mungu na Hakika tunamaliza na
Mungu.
David Kafulila
 
TOOOOOOOOOOKaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... Kafulila kafia mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Naamini katika shida za Watanzania alizokuwa anazi address EL zaidi ya 95 zinakuandama, na sio ajabu kura yako umechangia kwenye push-ups na fiesta!
Hebu rudisha ufahamu wako kidogo alafu uangalie ni maeneo gani ya nchi yameendelea na ni vipi wamechagua safari hii. Hata huko Kigoma angali tangia waanze ubishi wa kuingiza wapinzani bungeni kumebadilika kiasi gani.
Nyie ndio mnampa Donald Trump jeuli ya kututukana.
 
Kwanza Mkuu wa Mkoa Kigoma Kanali Issa
Machibya na Mkuu wa Wilaya Mrisho Gambo
walifanya kampeni kubwa na vitisho kwa
wananchi wakitumia polisi.
Pamoja na hujuma zote hizo bado majumuisho
kwa fomu za mawakala nimeongoza kwa zaidi ya
kura 2435.
Kwa kujua hilo jana mgombea wa ccm Hasna
Mwilima amekuja kukataa matokeo ya baadhi ya
kata na kutaka zihesabiwe upya.
Nikakataa kwa nguvu zote na nikamuonya
msimamizi ache kupokea maelekezo ya Mkuu wa
Mkoa.
Msimamizi akamua kusitisha zoezi la majumuisho
na kwamba anamwandikia barua Mkurugenzi wa
uchaguzi taifa kwa mwongozo.
Msingi wa kukataa kuhesabu upya matokeo ni
ukweli kwamba fomu za mawakala tunazo na
hazina kasoro.ccm hawana fomu za mawakala
wao.
Lakini sababu ya pili sina imani na masanduku
kwamba hayajachakachuliwa kwani tangu baada
ya kupiga kura yalikuwa chini ya polisi na tume
wenyewe bila wakala. Na hili linakuwa na uzito
kwasababu ya taarifa za magari ya kura feki
yaloingizwa chini ya usimamizi wa mkuu wa
mkoa na wilaya
Msimamo wangu ni kwamba sipo tayar kufungua
masanduku na kuhesabu upya ni bora msimamizi
akili ameshindwa kusimamia zoezi na uchaguzi
ufutwe kuliko kuhesabu masanduku ambayo sina
hakika nayo.
Naomba umma ujue haya kwa ufafanuzi wa
kinachoendelea kwani mpaka sasa wamejaza
polisi eneo hili kiasi cha kutisha.
Tulianza na Mungu na Hakika tunamaliza na
Mungu.
David Kafulila

usibadili msimamo, iwe hivyohivyo mwanzo mpaka mwisho. wanataka kumaliza figisufigisu zao
 
...usijaribu kuwaruhusu warudie kuhesabu matokeo; nakuhakikishia ukifanya hivyo utajuta milele,Wenje alifanya hiyo mistake wakamuumiza,usijaribu katu.!
kama vipi,uchaguzi urudiwe!
 
Komaa Davie,majimbo mengi jamaa wamefanya huo uhuni.Mungu mlinde huyu kijana dhidi ya Firauni.Mbatia tunakutaka uende mara moja kumsaidia kijana wetu,ni lazima sio ombi,c.c Ritz

Mbatia kashindwa kumsadia kwenye kampeni unataka aende kusaidia nini leo? Kafulila chaliii mwambie aje tuvue migebuka maana hakuna namna!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom