Na kweli hamna deni na mama shule zote kigoma zina madawati ,barabara zote zina lami ,huduma ya maji kigoma ni fire yaaan maji unaoga mpaka una garagara,Kigoma ina viwanda vya kutosha na wana kigoma wote wameajiliwa.Hosptal kila kona yaan huduma ya afya ni kama bure kwa nn tumdai ...alisikika mbulu kenge mmoja akisema .....fuxaxnn̈