Chief Sam
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 2,579
- 4,877
Kama ina akili iambie ioge maji Kisha itume mliman city ikakuletee 🍕Wewe unaizidi akili Kompyuta?
Kama ina akili iambie ioge maji Kisha itume mliman city ikakuletee 🍕Wewe unaizidi akili Kompyuta?
Siyo anaisaliti ameamua kuwa upande wa wananchiNahisi atakuwa ni mtu nyeti Usalama wa Taifa,ambaye anaisaliti taasisi hiyo nyeti.
Sasa si ndo kusaliti huko?.Anaachana na TISS anaungana na Wananchi.Siyo anaisaliti ameamua kuwa upande wa wananchi
Ni kundi la watu ambao ni intelligent professionals, hawezi kuwa mtu mmoja. Kwa mfano, kompyuta imetengenezwa na wanadamu na kujazwa akili za kibinadamu lakini ina uwezo kuliko mwanadamu mwingine yeyote yule kwa sababu yenyewe katika umoja wake, imebeba ujuzi wa wanadamu wengi. Kwa hiyo hayupo binadamu duniani atakayekuja kutokea na kuizidi akili kompyuta, mpaka siku Yesu anarudi
Ni kweli computer haina akili, ila imejazwa akili za wanadamu, kama nilivyosema hapo juu. Mojawapo ya challenge kubwa sana kwenye eneo hili la Artificial Intelligence mpaka muda huu ni kutengeneza kompyuta ambayo itakuwa inakua yenyewe kiakili, bila kuongezewa akili na mwanadamu. Walichoweza kufanya mpaka muda huu kwenye eneo hili ni kutengeneza kompyuta na progam yake inayoweza ku-"mimic human behaviour" kiasi kwamba kuna intelligent computers ambazo kwa sasa unaweza ukaongea nayo na usiweze kujua kuwa unaongea na kompyuta ila ukadhani kuwa ni mwanadamuKompyuta haina akili. Mengine tunaweza tukajadili. Inauwezo wa kufanya mambo makubwa na kwa kasi zaidi lakini ni yale imeamriwa au kupangiwa ifanye na mwanadam.
Robot ina uwezo wa kufanya hivyo. Robot ni kompyuta kwenye ganda linalofanana na mwili wa binadmu. Simu yako ya mkononi pia ni kompyuta, inakuamsha kila siku saa 12 asubuhi uende kazini. Unaiambia kwa kuweka alarm ya kukuamsha saa 12 asubuhi.Kama ina akili iambie ioge maji Kisha itume mliman city ikakuletee 🍕
Ni kweli computer haina akili, ila imejazwa akili za wanadamu, kama nilivyosema hapo juu. Mojawapo ya challenge kubwa sana kwenye eneo hili la Artificia Intelligent mpaka muda huu ni kutengeneza kompyuta ambayo itakuwa inakua yenyewe kiakili, bila kuongezewa akili na mwanadamu. Walichoweza kufanya mpaka muda huu kwenye eneo hili ni kutengeneza kompyuta na progam yake inayoweza ku-"mimic human behaviour" kiasi kwamba kuna intelligent computers ambazo kwa sasa unaweza ukaongea nayo na usiweze kujua kuwa unaongea na kompyuta ila ukadhani kuwa ni mwanadamu
Jamaa anatisha Kama jiweKigogo View attachment 1200989
[emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3]
Ona huyu.Wameshamfungia kwani mnamuona Tena siku hizi?