johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,619
Labda haitendagi hakiMh....kwanini selekale hushindwa kesi jamani
Escrow ni IPTLRichmond ndiyo escrow ilishashinda kesi mda ndo maana wakagawana pesa kwa kutumia masandarusi.
Matukio fulani huakisi akili zao, mfano mauaji ya polisi mkuranga, badala ya kutafiti na kupeleleza mpaka kuwabaini na hatimaye kuwakamata wauaji!!!! serikali kupitia jeshi la polisi inajisifia eti "kufanikiwa narudia tena kufanikiwa kuwaua WATUHUMIWA wa mauaji ya polisi"Mh....kwanini selekale hushindwa kesi jamani
Tafuta Mzizi hadi ikafikia kuwa IPTL.Escrow ni IPTL
Escrow na Richmond vitu viwili tofauti.Richmond=Dowans=Symbion,Escrow ni kalasinga na Rugemalira!Richmond ndiyo escrow ilishashinda kesi mda ndo maana wakagawana pesa kwa kutumia masandarusi.
Nitautafuta mkuuTafuta Mzizi hadi ikafikia kuwa IPTL.
Ahsante kwa kunisaidiaEscrow na Richmond vitu viwili tofauti.Richmond=Dowans=Symbion,Escrow ni kalasinga na Rugemalira!
IPTL ilipatikanaje?Escrow na Richmond vitu viwili tofauti.Richmond=Dowans=Symbion,Escrow ni kalasinga na Rugemalira!
Escrow siyo kampuni.Escrow na Richmond vitu viwili tofauti.Richmond=Dowans=Symbion,Escrow ni kalasinga na Rugemalira!
Pamoja na kushinda kesi lakini mwenyezi Mungu MTETEZI wa wanyonge alishashughulika na mhusaika mkuu kwa kuhakikisha hashindi uraisi kwa kutumia hayo mabilioni aliyokwapua kupitia richmond.Mwenyezi MUNGU HADHIHAKIWI KESHAWAPA adhabu yao hapa hapa duniani.Kilio cha wanyonge waliokosa dawa na wengine kufariki kwa kukosa dawa kwa kuwa pesa ambayo ingenunua dawa ilienda kulipia ufisadi wa RICHMOND ili hao mafisadi waneemeke kiharamia kwa pesa za walalahoi wasio na sauti.Mtuhumiwa Gile aliyeshtakiwa kwa kughushi nyaraka na kuileta kampuni ya kitapeli ya kufua umeme ya Richmond ameishinda serikali mahakamani.Hukumu hiyo imetolewa jana ktk mahakama ya kisutu.Sourrce gazeti Nipashe.My take;sijui Mwakyembe atatuekeza nini tena kufuatia hukumu hii?
Amina!Pamoja na kushinda kesi lakini mwenyezi Mungu MTETEZI wa wanyonge alishashughulika na mhusaika mkuu kwa kuhakikisha hashindi uraisi kwa kutumia hayo mabilioni aliyokwapua kupitia richmond.Mwenyezi MUNGU HADHIHAKIWI KESHAWAPA adhabu yao hapa hapa duniani.Kilio cha wanyonge waliokosa dawa na wengine kufariki kwa kukosa dawa kwa kuwa pesa ambayo ingenunua dawa ilienda kulipia ufisadi wa RICHMOND ili hao mafisadi waneemeka kiharamia kwa pesa za walalahoi wasio na sauti.
Majibu ya RICHMOND tutaendelea kumwachia MUNGU sio mahakama wala Mwakyembe waliotuibia na kukosa huruma kwa taifa hili makazi yao yawe UKIWA .Waalaniwe walalapo na waamkapo wao na watetezi wao na maisha yao yawe ya dhiki KILA WANALOGUSA WASIFANIKIWE.Nawalaani kwa JINA YESU
Unaikumbuka TRITEL?IPTL ilipatikanaje?
Fanya research Mimi nilikuwa najaribu kumfafanulia tu!IPTL ilipatikanaje?
Escrow na Richmond vitu viwili tofauti.Richmond=Dowans=Symbion,Escrow ni kalasinga na Rugemalira!