Kigogo CRDB na mtandao wa wizi wa magari

Ukoo wa wakina mawala unaheshimika sana moshi ni matajiri wa siku nyingi wako well connected kwa moshi na arusha hawagusiki wana pesa siku nyingi
HUYO NDIYE HAIKA MAWALA KIGOGO CRDB MOSHI ANAYEMILIKI MAGARI YA WIZI,RCO K'NJARO ANAJUA

MOJA YA GARI LA WIZI ANALOMILIKI NI T991DMS TOYOTA VANGURD AMBALO LILIIBWA BANDARI YA MOBASA KENYA

GARI HILO LILIKUWA JEUPE LIKAPELEKWA GEREJI MOJA PANDE ZA SANAWARI YA JUU ARUSHA LIKAPIGWA RANGI NYEUSI,ALIKOPA BENKI MIL.25 AKAMPA MME WAKE BOSCO YULE ALIYEKAMATWA NA SHANGINGI LA KENYA NISSAN PATROL V8,AKANUNUA KWA MIL.15,KUMI AKAWEKA MFUKONI.

GARI HILI LIMEKUWA LIKIKAMATWA NA KUACHILIWA NA POLISI K'NJARO BAADA YAKUPEWA MPUNGA MREFU
 
Wameiba nini?

Ni Wachagga tu wanaiba?

Vyasaka mna taabu kweli: badala ya kutafuta mali mnawatafuta Wachagga wakati sisi Wachagga tupo busy kutafuta Mali.

Oooh Wachagga wezii sijui ninii!

Tukamateni basi ninyi mbw***.

Umasikini na inferiority complex inawasumbua sana.

Niambie ni Wachagga wangapi wamepatwa na hatia na wapo jela!

Wachagga wangapi walikuwa kwenye kashfa na wakahukumiwa na wapo jela.

Zungumza kwa data siyo unafiki wenu na husda uliyojaa chuki na fitna zenu za kishenzi
...nimemwambia hivi, kwenye kesi nyingi zilizokwisha tolewa hukumu huwa zinarekodiwa kwenye vitabu vinavyoitwa TLR (Tanzania Law Reports) hivi vitabu wanasheria wanavijua sana.
Sasa waende wakasome huko ndo watajua ni wakina nani waoongoza kwa wizi, wasiongee vitu wasivyovijua.
 
Hanna lolote fanyeni mfanyayo, kama ni akili tunazo.

Tunabadilika kutokana na hali ya mazingira.

Mtafanya hujuma ila mtaumia ninyi tu maana hata kuweka magenge mitaani inawashinda, mpaka Wachagga tuwawekee.

Kupika mtori hamuwezi mpaka tuwapikie.

Kutafuta pesa na bajeti hamjui ni mpaka tuwafundishe.

Maisha yetu ndivyo yalivyo hatuishiwi na hatufilisiki.

Wachagga ni kama mafuriko, hatuzuiliki kwa mikono maana tunawasomba na kuwatupa mbali
Ni kweli hamzuiliki kwa wizi mko Poa sana kyasaka, endeleni kutoa kafara tu wazazi wenu na hill hamzuiliki saivi hakuna nafasi kwa niwe mana mliiba sana Mali za umma ila saivi hakuna pa kuiba ndo mmeanza janja janja. Ndo mana hata mnachukia jiwe mana hajawapa sehemu ama nafasi muibe kozi za watanzania.poleni sana
 
Ni Kaimu Mkurugenzi wa CRDB tawi la Moshi akichukua nafasi ya Francis Mollel ambaye amestaafu hivi karibuni,ndo mana tunamweka kwenye kundi la kigogo.

Magari mengine ambayo ni ya wizi ni T140DAE aina ya Honda,T803CBY aina ya Isuzu Pick-Up D MAX iliingizwa nchini kutoka Kenya kwa njia za Panya ikiwa na rangi nyeusi ikaenda kupigwa rangi Sanawari Juu na kuwa ya Kijivu,ilipewa namba za gari lililopata ajali huko Dar.

Kuna gari jingine aina ya Benz T832CGC yenye rangi ya Silver nayo ni "mrenga" kama wanavyopenda kuita wenye kazi zao,iliingizwa nchini ikiwa na rangi nyeupe nayo ikapigwa msasa hukoooo A-Town au Chuga kama wanavyopenda kupaita wenyewe .

Mtandao huu unajulikana vizuri sana kwa RCO Kilimanjaro na alishapiga Mil.15 kutoka kwa huyu dada mrembo wa sura anaishi na jamaa mjanja wa mujini.

Nawatakia PASAKA NJEMAAAAAA
Haya mambo yalishagaletwa huku kitambo sana mkuu, au sababu kapanda cheo ndo imekuwa nongwa? nakumbuka Police walibaini mmewe ndo tatizo na si yeye.
 
Ni kweli hamzuiliki kwa wizi mko Poa sana kyasaka, endeleni kutoa kafara tu wazazi wenu na hill hamzuiliki saivi hakuna nafasi kwa niwe mana mliiba sana Mali za umma ila saivi hakuna pa kuiba ndo mmeanza janja janja. Ndo mana hata mnachukia jiwe mana hajawapa sehemu ama nafasi muibe kozi za watanzania.poleni sana

Nani kakuambia Wachagga tunaiba?

Kama tunaiba ni kwanini hatukamatwi?

Kama tunaua ni kwa nini hatufungwi?

Kwani kuwepo serikalini ni kigezo cha kufanikiwa?

Unaweza ukawa serikalini na bado ukawa fukara kama babu yenu yule wa kizani na yule mswahili.

Ni hivi, kama ulidhani Wachagga tutayumbishwa na vyasaka, basi badili fikra zako maana ni potofu na hazitekelezeki.

Dua la kuku halimpati mwewe.

Jogoo hafi kwa utitiri.
 
...nimemwambia hivi, kwenye kesi nyingi zilizokwisha tolewa hukumu huwa zinarekodiwa kwenye vitabu vinavyoitwa TLR (Tanzania Law Reports) hivi vitabu wanasheria wanavijua sana.
Sasa waende wakasome huko ndo watajua ni wakina nani waoongoza kwa wizi, wasiongee vitu wasivyovijua.

Mimi mwenyewe nina taaluma ya sharia ninafahamu vizuri hizo rekodi
 
Haya mambo yalishagaletwa huku kitambo sana mkuu, au sababu kapanda cheo ndo imekuwa nongwa? nakumbuka Police walibaini mmewe ndo tatizo na si yeye.
Bora umeweka wazi na hiyo Mana ungeweza tuwekea hapa kujiridhisha
siwezi mtetea huyo Haika Mawalla ila TRA wana kazi gani yaani wana ushirikiano na RCO pia?
hao kina Mawalla kuwa na magari ni jadi tangu kina NGAMKISE
 
Tafuta humu kuna huo uzi wa kitambo sana.
 
Mtoa post Ana wivu hii ni habari ya kiumbea mbea fanya kazi kwa bidii acha kuona wivu kwa watu waliifanikiwa kina mangi wanapigwa vitæ sana
 
Nani kakuambia Wachagga tunaiba?

Kama tunaiba ni kwanini hatukamatwi?

Kama tunaua ni kwa nini hatufungwi?

Kwani kuwepo serikalini ni kigezo cha kufanikiwa?

Unaweza ukawa serikalini na bado ukawa fukara kama babu yenu yule wa kizani na yule mswahili.

Ni hivi, kama ulidhani Wachagga tutayumbishwa na vyasaka, basi badili fikra zako maana ni potofu na hazitekelezeki.

Dua la kuku halimpati mwewe.

Jogoo hafi kwa utitiri.
We kwanza mchaga wa wapi unaweza kukuta ni wale wa kiboriloni wauza ndizi halafu unatupelekesha hapa
 
Back
Top Bottom