Kigogo amegeuka chinjachinja kwa ukwimwi.


Ndio walewale, naona kiswahili kinakupiga chenga! Pole sana, waswahili hunena "asiye-elewa maana, haambiwi maana".
 
mbona mmemu-attach Bi Hawa badala ya hoja yake!!; any way Serikali ni kubwa sana inakuwaje huyo mtu anapata wasichana wote wanaoajiriwa serikalini? na ni kigogo gani serikalini ambaye Hawa anamuogopa kumtaja maana yeye ni waziri juu yake kuna Rais na Waziri Mkuu kwa maana ya Itifaki!, Kwanini Hawa hasi-deal na source ya tatizo "huyo mzee/Kigogo" amwambie aache au amstaki kwa Rais au Hawa ana maaanisha nini hapa? au la Hawa amstaki kwa Waziri Mkuu kulikoni? Hatari Hawa umekuwaje tena? Hawa anathibitisha kuwa hajui cha kufanya mapenzi ni sehemu muhimu sana ya Binadamu sasa kama hajawaambia hawa mabinti huyo Mtu hajasaidia maana watatongozwa na waendelea nae wakidhani siye aliyefumbwa na Hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…