ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,422
- 2,658
Wadau
Ningependa kufahamishwa ni vigezo vp haswa hutumika kumpata team captain katika timu za mpira wa miguu na je, huwa anateuliwa na kocha au huwa anapendekezwa na wachezaji wenzake?
Nawasilisha