Hata Mie niliona Hiyo ya Howard Webb na Silva nikafikiria hivyohivyo sababu walikaa mazungumzo muda mwingi ila nafikiri Silva anaweza Kuwa anajuwa lugha ya kiengereza na Kama hajui itakuwa Kama Rubaman alivyosema watakuwa marefa wanajifunza lugha za kimataifa wapo wachezaji wengi pia nje wanajifunza lugha za kigeni ila hawatokei kuchezea zile ligi za Hiyo lugha Mfano: Zidane wakati yupo Italy kaenda Spain anajuwa kiengereza kuliko Spanish na Cannavaro alikuwa anajuwa kuongea English alijifunza na Lampard anaongea Spanish ila hakupata kucheza La Liga mwengine Xabi Alonso alivyokuja England alikuwa tayari anaongea English ila akasema yeye toka mdogo baba yake alimpeleka English School,ni sawa na utashangaa kuna Marefa Millionea au Wengi tunawachukulia wacheza mpira haijasoma sio Kama Sports za marekani unakuta wengi wanataka Uni mpira wa miguu wapo Players Wana Degree zao Kama Simon Mignolet Ana Degree ya Math na Politics na wapo wengi ukiwaacha wale Degree za kupewa.