Katika magari nisiyopenda hata kuyaona ni hayo ya milango 2, yaani upo na mke halafu umemkuta jirani yako njiani ananyeshewa na mvua anakuomba msaada. Ili umchukue/umshushe inabidi aliyekaa kiti cha mbele ushuke kwanza aloe maji ili yeye aingie kwanza halafu aliyekaa kiti cha mbele arudi kwenye kiti chake...
Na ukinipa lifti labda nikae kiti cha mbele, nahofia ikitokea dharura yoyote jinsi ya kutoka shughuli yake kubwa....