Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Habibu Mchange kwa tuhuma za rushwa inayohusishwa na uteuzi wa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Mkuu wa TAKUKURU kanda ya Temeke, Joseph Makungu amesema walipokea taarifa za mtuhumiwa kuandaa wajumbe wa chama hicho kwa lengo la kuwapa rushwa ili jina lake lipitishwe bila kupingwa kwenye kuomba uteuzi wa ndani ya chama hicho kwa anafasi ya ubunge wa jimbo la Kigamboni.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025