Ni afadhari umeonyesha upumbavu wako ili tukusaidie kufikiri....
Mimi mwenyewe ni mkaazi wa Kigamboni, ni kweli Kigamboni kuna tatizo la umeme, lakini halitokani na madai uliyoaainisha hapo, wala suala la ujenzi halihusiani na dini ya mbunge wenu, tafuta vizuri sababu badala ya kukwepa kushughulisha ubongo wako. Bila shaka ulikuwa unaongea na fundi radio au wale wa wiring mtaani, basi wewe unadhani ni Tanesco tu wanafanya kazi za umeme.
Hivi hauoni kuwa hujitendei haki wewe binafsi kwa kutoutumia ubongo wako ipaswavyo? Huoni kuwa ni matusi makubwa kuonyesha kuwa tofauti yako na maiti au jiwe ni kitendo cha kuongea na kujongea??