Kigamboni Ferry hakuna Stendi ya Mabasi Aibu

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,232
11,463
Upande wa kigamboni Kutokuwa na Stendi ya mabasi ni aibu upande wa stendi ya Daladala zinazoenda Kimbiji,kongowe,mjimwema stendi ni ya tope na chafu ikinyesha mvua ni aibu matope kila kona,

Hakuna stendi maalum mgari na mabajaji yanapaki hovyo na ikinyesha mvua utakimbia aibu sana
 
Back
Top Bottom