CONSTRUCTION UPDATES
SEPTEMBER 2012
WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI NA BARABARA YA KILWA, ASEMA WATAKAOSABABISHA UJENZI CHINI YA KIWANGO KUFUKUZWA KAZI
MICHUZI: WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI NA BARABARA YA KILWA, ASEMA WATAKAOSABABISHA UJENZI CHINI YA KIWANGO KUFUKUZWA KAZI
^^ mmeona mkuu hapo juu anachoma aone lami kiwango gani :lol: vigezo na mashart kuzingatiwa :lol: :cheers:
Ujenzi unaendelea Ndugu VANDAH, JF ni user-generated content hata wewe unaweza kupita pale Kurasini ukachukua picha mbili tatu na kutusaidia kuweka updates hapa.Kwani toka sept 2012 hakuna ujenzi ulioendelea?? Mbona update ya zamani sana...
Nguzo kubwa ikiwa katikati ya kina kirefu cha maji.
Mhandisi,Karim Mattaka,wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) akifuatilia kwa karibu Ujenzi wa moja ya nguzo ya 8 iliyozungukwa na maji inayoonekana sehemu ya chini baada ya maji kuwekwa pembeni.
Mafundi wa Kichina na wetu (kulia) wakiangalia nguzo ya 8.
Mabomba ambayo yatazamishwa chini ya ardhi kwenye maji yakisubiri kuzamishwa
Nondo zilizosukwa pamoja zimeandaliwa kujengewa nguzo.
Baadhi ya Wananchi wanaoishi maeneo ya Vijibweni na kwengineko wakianza kunufaika kwa kutumia kwa magari na waendao kwa miguu kuvuka katika Daraja linalotumika kupitishia vifaa vya ujenzi wa Daraja
Gari la Polisi likipitishwa katika Daraja la muda kuelekea Vijibweni.
Kitachowaokoa urais 2015 CCM ni mpasuko CDM na lami zilizojengwa awamu ya 4!ufisadi na kulindana!utaangamiza sana!wangeweza safisha uozo wote tungefika mbali zaidi!
Shida ya Watanzania n kuwa tunafikiria zaidi mshiko kuliko maendeleo. Mara nyingi tunatumia nguvu kubwa kwenye upuuzi kuliko material.
Hebu jiulize: kujenga Daraja la Kigamboni ni 200billion na kujenga barabara zote za Dar mpaka uchochironi ni 100bn. Kwako wewe ipi ni kipaumbele?

Sijui tatizo ni vifaa kwa wakandarasi wetu au...! Maana miradi kama hiyo duniani naona ikitekelezwa kwa teknolojia ya hali ya juu zaidi, hizo nguzo husimikwa kwa kutumia meli maalum nk, wao imewabidi kujenga daraja la muda.., hebu mwenye nafasi aangalie hii ni huko Ugiriki daraja la Rion-Antirion
wachina lazima wawe wametia mkono hapodah naweza kujua contractor ni nani hapa?
wakuu mimi swali langu la kizushi kwan nini daraja lilipendekezwa klijengewe kurasini htauoni kama kule ni mbali kidogo na city centre kabisa kwa nini lisingejengewa pale ambapo basi yanayoenda kasi yatakapoanzia ili kuwarahisihia watumiaji wake wakitoka tu kwenye daraja wanachukua ndinga wanaenda kwnye misele yao au mahome kwao.
thanks mkuu,it make sense.Najaribu kukujibu kizushi.. Ina maana wa D'salaam wote wanaishi Morogoro road. Kila jambo la maendeleo liwalenge waoo tuu!.
Any way.. nikiondoa uzushi, mwendo WA kutoka kurasini mpaka posta mpya WA gari Ni dk 2 bila foleni. Vilevile daraja kusogea pembeni kidogo itasaidia kupunguza msongamano katikati ya jiji mkuu!.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
wakuu mimi swali langu la kizushi kwan nini daraja lilipendekezwa klijengewe kurasini htauoni kama kule ni mbali kidogo na city centre kabisa kwa nini lisingejengewa pale ambapo basi yanayoenda kasi yatakapoanzia ili kuwarahisihia watumiaji wake wakitoka tu kwenye daraja wanachukua ndinga wanaenda kwnye misele yao au mahome kwao.
ok nimekupata mkuu ila pia si wangewea kupunguza urefu kwa maana ya sehemu linapoanzia kushukia??daraja hilo linaanzia na kushukia mbali.....ina maana kama wangataka lijengwe[lipite] pale ferry lingeishia kule gymkhana au aga khan hospital huko.