AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
jamani, nimefuatilia sana mji wa kigali, na sifan yiingi kwa kagame na wanyarwanda kwamba wameendelea, kana kwamba watanzania hatujaendelea kama wanyarwanda, au kama vile mji wa kigali ni mzuri kuliko hata miji ya tz. nimechukua kamji kamoja tu ka tz ambako ni MWANZA, nimeacha Arusha na Dsm kwasababu najua kigali iko nyuma sana na haina uwezo kujilinganisha na dsm au arusha in terms of mzunguko wa pesa namajengo (watatushinda tu usafi hapo nimenyosha mikono). hebu tutupie picha za mwanza hapa na ninyi mnaowinda interahamwe najua mtakuja kwa hasira, tupieni picha za kigali tuone basi.
ZIFUATAZO NI PICHA ZA MWANZA.

ZIFUATAZO NI PICHA ZA MWANZA.














