Wenye Wivu mpooo!? Acha kagame aitwe kagame bana!mzalendo na mchapa kazi,Kigali arena imejengwa ndani ya 6moths.10,000 seats, NBA Modern Stadium yenye all facilities inside.
Simbaaaaaaaaa ndio habari ya mjiniLeo simba tunacheza na UD Songo ya Mozambique dua zenu jamani
Kwani kigali arena ni ukumbi au stadium?c
Capacity yake ni 10,000 Seats,yes ndio ukumbi wa kwanza east Africa.