Kifurushi cha tigo

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Ninaomba kufahamu namna ya kujiunga na kile kifurushi cha tigo cha bila kikomo cha sh1000 ambacho kikomo chake ni mpaka kimalizike.
 
Piga*148*00#
Chagua 1 -special offer
Chagua 5- 20mins unlimited

Nadhani umeelewa..
 
Ninaomba kufahamu namna ya kujiunga na kile kifurushi cha tigo cha bila kikomo cha sh1000 ambacho kikomo chake ni mpaka kimalizike.

Nitumie Hiyo Namba Yako Ya Vocha Unayotaka Kujiunga Nayo Kupitia PM Kisha Nitakuunganisha Muda Si Mrefu Uzungumze Bila Kikomo!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…