Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Unajiunga vipi ? na unaruhusiwa kujiunga mara ngapi kwa siku (infinity au)?
uwa sipendi watu viherehere kama wewe....
hujauizwa unapayuka payuka
Ukichagua hii alafu namba nne unapata happy hour ya maongezi dakika 60 au 20 kwahio unataka kusema pamoja na dakika za maongezi kuna unlimited internet ? (mhh sidhani ngoja tungojee mtu aliyeshajaribu hii kitu)*149*01#
Ukichagua hii alafu namba nne unapata happy hour ya maongezi dakika 60 au 20 kwahio unataka kusema pamoja na dakika za maongezi kuna unlimited internet ? (mhh sidhani ngoja tungojee mtu aliyeshajaribu hii kitu)
Mimi mpaka sasa ninavyojua unlimited ya masaa wanao TTCL ukijiunga na Banjuka, nayenyewe ni elfu na ushee kwa peak hours na ofpeak saa tatu mpaka 12 ni 650 kwa lisaa (that's what am using siku hizi nikitaka ku-download series)
Sasa hiyo unlimited sijui ni browsing au unlimited downloading ???Habari njema! Bei ya Happy Hour imeshuka hadi Tshs. 199. Piga *147*199# ufurahie intaneti BILA KIKOMO kwa dakika 60. Vodacom. Kazi ni kwako
wamenitumia sms hii mchana huuNa mm najua hiyo kitu ni maongezi tu
Lkn kuna mtu kanambia wameleta ya internet sijui ndo hiyo au la?
Habari njema! Bei ya Happy Hour imeshuka hadi Tsh.199. Piga *147*199# ufurahie intaneti BILA KIKOMO kwa dakika 60. Vodacom, Kazi ni kwako.
Mteremko gani kwenye Bundle / Internet ? (Kama kweli hii ni unlimited kwa saa moja kwa 199/=) Ni bundle gani ya airtel inayotoa zaidi ya hii ?hamieni Airtel kila kitu ni mteremko!
hamieni Airtel kila kitu ni mteremko!
hili ni swali au jibu ?mb n unlimited for downloading o browsing
Mbona kwangu inagoma? Napata ujumbe "cheka haipatikani sasa jaribu tena baadaye" nimejaribu line 2 tofauti hakuna mavadilikoNimeitumia sana, tangu iko 300. kwa sasa dial *147*199# unapata 60 minutes unlimited download + browsing. kingine kizuri kwa hii ni kwamba unaweza ukajiunga ukiwa ndani ya wajanja night (chochote utakacho download hapa hakitakuwa counted kwenye 1gb ya wajanja night bali happy hour). dkd 60 zikiisha, wajanja night ina resume kama kawa.
Mbona kwangu inagoma? Napata ujumbe "cheka haipatikani sasa jaribu tena baadaye" nimejaribu line 2 tofauti hakuna mavadiliko
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums