Kifo ndio kitawatenganisha

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
''Kifo ndio kitawatenganisha," Hii ni kauli ya wachungaji wengi wanapofungisha ndoa, sasa nauliza mbona anapokufa mwanamke ndugu zake wakitaka wamzike kwao, mume na ndugu zake wanalumbana azikwe kwa mume wakati mchungaji alishasema kifo ndio kitawatenganisha. Au hii kauli haiheshimiwi?
 
kifo ndo kitawatenganisha kwa maana ya kile kiapo walichokiri kanisani,hawaongelei swala la mwili wa marehemu...:bange:
 
Back
Top Bottom