Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,022
- 114,292
Kwamba mwanangu nimwambie Mungu hayapo au?Tatizo kama human being waeza sababisha maafa mbeleni like people kwenye hizo Story za dini.. so you have to stand for yourself not kizazi chako kijacho au kilichopo... i hope your christian so beba mzigo wako mwenyewe... as your bible said... when unapopotosha mwingine just like Jesus alivyowaambieni Kipofu kumuongoza kipofu mwenzie wote hutumbukia Shimoni....