Kifo cha SGR hakiko mbali

Kifo cha SGR hakiko mbali

curie

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
1,057
Reaction score
2,443
Mimi sio mtabili ila kwa yanayoendelea Tanganyika kwenye miradi kama Brt , Airtz ,n.k na kiona kifo cha Mradi huu muda si mrefu .

Muda ni jaji
 
SGR haiwezi kutoboa 2040 kama mwendo kasi umeshindwa kuendesha na wateja wapo. Je mambo serious kama SGR tutayaweza mshindwe kuendesha mabasi muweza tren Tena ya Umeme Come on
 
SGR haiwezi kutoboa 2040 kama mwendo kasi umeshindwa kuendesha na watejaapo. Je mambo serious kama SGR tutayaweza mshindwe kuendesha mabasi muweza tren Tena ya Umeme Come
Huko ni mbali sana
SGR haiwezi kutoboa 2040 kama mwendo kasi umeshindwa kuendesha na wateja wapo. Je mambo serious kama SGR tutayaweza mshindwe kuendesha mabasi muweza tren Tena ya Umeme Come on
 
Inaenda kufa kabla haijafika Mwanza!!

Kadogosa keshanusa fedheha katimkia siasani mapema!!
 
Mwendokasi itakuwa shirika la kwanza duniani kufa kwa kuzidiwa wateja, hii ni historia inayofaa kutambulika duniani 🔥
 
Back
Top Bottom