kifo cha mwangosi, kuna any suspect aliyeshikiliwa?

baby drama

Member
Aug 17, 2012
8
0
Ninavofahamu mimi, kwny criminal case serikali inatakiwa kuhakikisha watuhumiwa wanashikiliwa hasa wale waliokuwa eneo la tukio.SWALI: kuna walioshikiliwa kwenye kifo cha mwandishi wa Iringa? Na kile cha mfanyabiashara wa Msamvu Moro? Kama kwenye kifo cha Kanumba hakukuwa na shahidi zaidi ya Lulu na alikamatwa usiku huo huo,,,inakuwaje hapa? Je ni haki hii au kwa sababu tu wanaotuhumiwa ni chombo cha serikali??!
 
Back
Top Bottom