Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Samahani sijaelewa picha hii.
Hao watu wawili wanacheza wrestling, sasa mmoja wao akifa hapo ni kifo cha kujitakia tu.
Hao watu wawili wanacheza wrestling, sasa mmoja wao akifa hapo ni kifo cha kujitakia tu.
Afu anakufa kwa kukosa supply ya oxygen!
Postmortem report:the victim died of asphyxiation......
Nzi kufia kwenye kidondandio halali yake sio ufala Mkuu VitaimanaNzi kufa kwenye kidonda sio ufala ila kupenda.
Hapo alipo amechomeka?
Hapo alipo amechomeka?