HahahahJamani nilikuja kuwatembelea mara moja sasa narudi kwetu, maana mi sikuhizi naishi kule kwenye ghetto la jamii sports.
Ila wakati naondoka naomba DJ anisindikize na ule wimbo wa msanii phina;
do salalee! Tumwesige senior ameachwaa, amepigwa kibutii.
Naona unajichekeshesha eeh! sikutaki shemeji wewe.Hahahah
Kikubwa dada yako ameukubali mwenyewe mziki, utanitaka tuNaona unajichekeshesha eeh! sikutaki shemeji wewe.
Kusema za ukweli sister mi simtaki shemeji mwenyekiti, yaani wazee kukusomesha kote leo uje kuolewa na mwenyekiti! tena wa kijiji! bora kidogo labda angekuwa mwenyekiti wa ccm samia suluhu.Ila Single The Loner ww ni mkorofi,muache bhn kipenzi changu Tumwesige senior
Muulize nimempa nini?Kusema za ukweli sister mi simtaki shemeji mwenyekiti, yaani wazee kukusomesha kote leo uje kuolewa na mwenyekiti! tena wa kijiji! bora kidogo labda angekuwa mwenyekiti wa ccm samia suluhu.
Aa..aaah! ngoja nimuite sister miana amor njoo umuone mzee wako wa hovyo huku! eti anatamba anasema umeukubali mziki wa kibamia.Kikubwa dada yako ameukubali mwenyewe mziki, utanitaka tu
miana amor njoo utoe ushuhuda huku, Naona watetezi wa Tumwesige senior wamejitokezaAa..aaah! ngoja nimuite sister miana amor njoo umuone mzee wako wa hovyo huku! eti anatamba anasema umeukubali mziki wa kibamia.
Umpeni nini wewe..!! mauvivu mauvivu tu, wenzio wanaenda shambani we uko bize hapo ofisi ya kijiji kama unalipwa mshahara vile! kumbe unafanya kazi ya mampwetu.Muulize nimempa nini?
Mbona kama unaumia, Dada yako anajua ninachoona bwana shemeji au unataka upewe wewe? mbona unamuonea wivu dada yako hahahahahaUmpeni nini wewe..!! mauvivu mauvivu tu, wenzio wanaenda shambani we uko bize hapo ofisi ya kijiji kama unalipwa mshahara vile! kumbe unafanya kazi ya mampwetu.
Hahaha anakaa kwa shemeji yake ndio nikuambie sasaNgoja nimuulize hivi shemeji Tumwesige senior wewe unafanya kazi gani? taja kazi ya maana ili nisipate shida kukutetea kwenye vikao vya familia yetu.
aaah umenishusha viwangoHahaha anakaa kwa shemeji yake ndio nikuambie sasa
mimi ni mfanyabiasharaNgoja nimuulize hivi shemeji Tumwesige senior wewe unafanya kazi gani? taja kazi ya maana ili nisipate shida kukutetea kwenye vikao vya familia yetu.
Aa! aa! aa! aa! dada angu miana amor ona huyu bwana wako mauvivu mauvivu anavyonitusi!!.Mbona kama unaumia, Dada yako anajua ninachoona bwana shemeji au unataka upewe wewe? mbona unamuonea wivu dada yako hahahahaha
Lione hili nalo..!! kuna bidhaa inayoitwa duka? jiongeze tena ikibidi futa hiyo comment kabla sister hajaiona.mimi ni mfanyabiashara wa duka
sawaLione hili nalo..!! kuna bidhaa inayoitwa duka? jiongeze tena ikibidi futa hiyo comment kabla sister hajaiona.
Ila Single The Loner ww ni mkorofi,muache bhn kipenzi changu Tumwesige senior
😩😂😂kabla ajaifuta mm nimesha iona bro Single The Loner mkubali tu shemeji yako mwenyekiti Daudi1 utakua unakunywa maziwa kila sikuLione hili nalo..!! kuna bidhaa inayoitwa duka? jiongeze tena ikibidi futa hiyo comment kabla sister hajaiona.
Mwambieeee😩😂😂kabla ajaifuta mm nimesha iona bro Single The Loner mkubali tu shemeji yako mwenyekiti Daudi1 utakua unakunywa maziwa kila siku