Mgoyangi Senior Member Joined Feb 6, 2008 Posts 184 Reaction score 9 Mar 11, 2011 #1 Kuna tetesi kuwa Mkuu wa wilaya mmoja mkoani Mwanza alikuwa akitibiwa huko India amefariki dunia dunia , mwenye uhakika tunaomba atumwagie hapa.
Kuna tetesi kuwa Mkuu wa wilaya mmoja mkoani Mwanza alikuwa akitibiwa huko India amefariki dunia dunia , mwenye uhakika tunaomba atumwagie hapa.
N Nimrod Member Joined Nov 5, 2010 Posts 26 Reaction score 0 Mar 11, 2011 #2 nipo mwanza, sjapata taarifa kama hizo, nikinasa ntakujuza
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Mar 11, 2011 #3 mhhhh yale yale ya RC
O Omumura JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 476 Reaction score 18 Mar 11, 2011 #4 Habari hizi ni za kweli, aliyekuwa DC wa Ilemela Mwanza Lt Col. Serenge Mrengo amefariki akiwa kwenye matibabu huko India.
Habari hizi ni za kweli, aliyekuwa DC wa Ilemela Mwanza Lt Col. Serenge Mrengo amefariki akiwa kwenye matibabu huko India.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Mar 11, 2011 #5 Yasiwe yale ya Balele!
andrewk JF-Expert Member Joined Apr 13, 2010 Posts 3,102 Reaction score 491 Mar 11, 2011 #6 sichangiiiiii
Mwanamageuko JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 8,596 Reaction score 5,584 Mar 11, 2011 #7 naogopa sana kusema chochote hapo nisije nikawa kama waliowahi kusema....
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 Mar 11, 2011 #8 Confirmed: Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya RFA ya saa 10 ni kwamba Lt.Col Mrengo DC wa Ilemela amefariki akiwa India kwa matibabu Sijui ni coincidence ama maana mwaka jana DC wa Nyamagana C.Rugarabamu naye alifariki akiwa huko huko India kwa matibabu.... R.I.P DC Mrengo
Confirmed: Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya RFA ya saa 10 ni kwamba Lt.Col Mrengo DC wa Ilemela amefariki akiwa India kwa matibabu Sijui ni coincidence ama maana mwaka jana DC wa Nyamagana C.Rugarabamu naye alifariki akiwa huko huko India kwa matibabu.... R.I.P DC Mrengo
Tusker Bariiiidi JF-Expert Member Joined Jul 3, 2007 Posts 5,554 Reaction score 2,158 Mar 11, 2011 #9 Mungu mbariki Mchungaji wetu wa Loliondo... RIP DC...