Kifo cha CCM

Kifo cha CCM

CCM imeshaishi zaidi ya ilivyostahili. Wasipokubali kufa kwa hiyari watalazimishwa kufa na wananchi.
 
Tupo pamoja sana ndugu yetu hii ccm haitakiwi hata na shetani
Mwisho wa CCM ni mwaka 2020 ambapo chama hiki kitafutika kabisa ndani ya bara la Afrika na kusahaulika. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali kuwarudisha hawa mafisadi na wachumiatumbo wakubwa madarakani.
 
Mwambie huyo bendera fuata upepo kama kina Nape wameiona ccm ni mzigo yeye huyo Nani?
Kuwa mpole kada mtiifu wa ccm! Mna miaka michache sana ya kuvaa hizo nguo zenu za kijani.
FB_IMG_1563609921944.jpeg
FB_IMG_1563550734355.jpeg
 
Ccm kimekuwa chama kikongwe sana barani Africa ambacho mpaka Leo kipo madarakani lakini ni chama ambacho kwamiaka yote hiyo kimeshindwa kutufikisha watanzania mahali ambapo tulipaswa kufika kimaendeleo kulingana na rasilimali zilizopo nchini. Ni ukweli usiofichika Kwamba kuna wachache ndani ya Ccm Kwa muda mrefu wamekuwa wanufaika wakuu wa rasilimali za nchi wengine tukiumia.

Naufurahia mgogoro ulioanza ndani ya Ccm maana wanufaika na watu waliotutesa Kwa miaka mingi Kwa kula mkate Wa taifa peke yao wameguswa/wametikiswa na kiukweli hawatakubali ndio utakuwa mwisho wao pamoja na chama chao cha kifisadi. Watanzania sio wajinga tena waking'ang'ania chama wataachiwa ila watanzania tutaamua maana tuliwaona tukawasikiliza tukawapa nafasi lakini walituumiza sana sasa sisi tunamjua tunayemtaka vyovyote itakavyokuwa ila tutamchagua huyo.
Kwaheri Ccm yamafisadi mmetuumiza Kwa muda mrefu.

Hii nchi ni yetu sote.
Mbadala ni chama kipi sasa?
 
Ndoto za mchana ccm ipo na itakuwepo na kama mlishindwa kuizika enzi zile sembuse enzi hizi? Chama kikiongozwa na comrade asiyeyumba JPM ,mtasubiri sana,
 
Poleni sana endeleeni kuota laiti mngelijua msingeongea hata..
Sasa kwa taarifa yenu hakuna uchaguzi utakao enda vizuri tena kwa haki kama wa 2020 na kura mtapiga na nabhata msipige atapita tena kwa nderemo na vifijo.
 
Ndoto za mchana ccm ipo na itakuwepo na kama mlishindwa kuizika enzi zile sembuse enzi hizi? Chama kikiongozwa na comrade asiyeyumba JPM ,mtasubiri sana,
Jemadari asiyeyumba anayejificha nyuma ya Msiba...ha ha haa!
 
HUENDA NI MAKAKATI WA CCM KUWAZUBAISHA WAPINZANI KUELEKEA UCHAGUZI.
 
HUENDA NI MAKAKATI WA CCM KUWAZUBAISHA WAPINZANI KUELEKEA UCHAGUZI.
 
Tatizo ugomvi wa CCM ni ugomvi wa dola kwa taarifa yenu misako inaendelea watu wanakagua madaftari ya lodge na guest house kujua nani kalala katoka wapi na anafanya nini.

Huku kwenye mihadhara ndio mainforma wanahaha kuwatafuta wasiounga mkono juhudi kama hauko vizuri please chungeni michango yenu sasa kuliko wakati wowote manake wengi watatupwa kwenye viroba au kupotezwa.

Jana nilipita Iringa na kukuta mjadala wa stand kuhamishiwa igumbilo na usumbufu wanaopata abiria kumbe walioanzisha ndio mainforma kutoa hoja kwamba uamuzi huo ni wa kijinga ghafla jamaa kainuka kaenda kuniletea polisi nikamatwe wakati yeye ndio kaanzisha mada na wapiga debe wanamjua wakasema wanaogopwa kuwekwa ndani wakitoa mawazo yao.

Nilipata gari late nikaingia Dar usiku sana nikachukua lodge Kinyerezi saa 11:30 wamevamia watu wanakagua dafatari la wageni na jina likitally na namba ya simu hakuna shida sasa sijui ndio wanenda kudukua au vipi. CCM wanatumia mkono wa chuma tahadhari ni muhimu sana.
 
Utakufa wewe na kuicha CCM inapete. CHADEMA ndiyo wanaweza kufa sio gar kubwa
Wewe akili yako finyu unadhani kila anayezungumza huku ni Chadema.Ama kweli,mbona hicho chama mnakipandisha hadhi hivyo. Inaelekea haulali ukifikiria Hilo lichama,angalia Uta kufa na pressure kumbe hata unayempigia gitaa haelewi ni muziki gani unacheza na anaendelea kukushangaa tu.
 
Back
Top Bottom