MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,413
- 4,888
Kiingie wapi wakati ni Jina tu limebaki kila kitu kinaendeshwa na dola.ikifa CCM kipi kiingie? vyama vya upatu ?
Kiingie wapi wakati ni Jina tu limebaki kila kitu kinaendeshwa na dola.ikifa CCM kipi kiingie? vyama vya upatu ?
Ccm kimekuwa chama kikongwe sana barani Africa ambacho mpaka Leo kipo madarakani lakini ni chama ambacho kwamiaka yote hiyo kimeshindwa kutufikisha watanzania mahali ambapo tulipaswa kufika kimaendeleo kulingana na rasilimali zilizopo nchini. Ni ukweli usiofichika Kwamba kuna wachache ndani ya Ccm Kwa muda mrefu wamekuwa wanufaika wakuu wa rasilimali za nchi wengine tukiumia.
Naufurahia mgogoro ulioanza ndani ya Ccm maana wanufaika na watu waliotutesa Kwa miaka mingi Kwa kula mkate Wa taifa peke yao wameguswa/wametikiswa na kiukweli hawatakubali ndio utakuwa mwisho wao pamoja na chama chao cha kifisadi. Watanzania sio wajinga tena waking'ang'ania chama wataachiwa ila watanzania tutaamua maana tuliwaona tukawasikiliza tukawapa nafasi lakini walituumiza sana sasa sisi tunamjua tunayemtaka vyovyote itakavyokuwa ila tutamchagua huyo.
Kwaheri Ccm yamafisadi mmetuumiza Kwa muda mrefu.
Hii nchi ni yetu sote.
Wacha porojo wewe dogo, Ccm haijawahi msaidi mtanganyika isipokuwa Tabaka LA viongozi mafisadiNimesoma makala yako nakugundua kuwa ubongo wako una uvimbe au huenda hukumaliza dozi yako huko Milembe Hospital, huwezi kusema CCM ni chama ambacho hakuna cha maana kilichofanya wakati wewe mwenyewe hivyo vi simu na labtop ni matunda ya ccm, bila chama hiki kuiimarisha Serikali ambayo iliingia mikataba na Mataifa mbalimbali nakupewa masafa ambayo wewe leo unayatumia kutupia upuuzi na utumbo wako humu mitandaoni. Pia barabara unazotumia ni zao la usimamizi mzuri wa serikali ya ccm, huduma za Hospitali ambako kila unapougua Kaswende yako huwa unatibiwa na Madaktari waliosomeshwa kwa fedha ya serikali ya ccm. Kifupi huna akili.
Tafuta kazi mtoto wa kike au njoo tukule hukuMatanga yatakuwa wapi?
Wacha porojo wewe dogo, Ccm haijawahi msaidi mtanganyika isipokuwa Tabaka LA viongozi mafisadi
Itakuwa sherehe Nchi nzima kama siku alivyoangushwa Kabila na kundi lake.Matanga yatakuwa wapi?
Kwa wale woooote wenye akili timamu wanajua kuwa CCM imeshajifia,sasa kuna genge linalotumia mabavu ya bunduki na mabomu ndiyo tunapambana nalo. CCM haipo tena.Utakufa wewe na kuicha CCM inapete. CHADEMA ndiyo wanaweza kufa sio gar kubwa
CHATOMatanga yatakuwa wapi?
Kwanini.CCM haiwezi 'kufa' hata siku moja
Kwanini.
Kama ambavyo unaamini hutakufa![]()
![]()
![]()
Ina maana vyama vyote vya ukombozi barani Afrika vilivyokufa vilikuwa havikujisimika vijijini isipokuwa CCM pekee.Imejisimika sana vijijini kwenye zile remote areas hilo hata ww Quinine unalifahamu usitake kujitoa ufahamu.Nyumba ni msingi.
Usiku hukulala nini? Mbona unaota mchana?
Nimesoma makala yako nakugundua kuwa ubongo wako una uvimbe au huenda hukumaliza dozi yako huko Milembe Hospital, huwezi kusema CCM ni chama ambacho hakuna cha maana kilichofanya wakati wewe mwenyewe hivyo vi simu na labtop ni matunda ya ccm, bila chama hiki kuiimarisha Serikali ambayo iliingia mikataba na Mataifa mbalimbali nakupewa masafa ambayo wewe leo unayatumia kutupia upuuzi na utumbo wako humu mitandaoni. Pia barabara unazotumia ni zao la usimamizi mzuri wa serikali ya ccm, huduma za Hospitali ambako kila unapougua Kaswende yako huwa unatibiwa na Madaktari waliosomeshwa kwa fedha ya serikali ya ccm. Kifupi huna akili.
jenga hoja na si maneno ya kwenye kangaikifa CCM kipi kiingie? vyama vya upatu ?
hata kama si ladya acha tumwite lady tu mana hakuna namna kwa watu kama hawaWewe ndiye huna akili, kwahiyo kwa miaka 60 yote waliyotawala wananchi unawaaifu kwa kuleta internet? You must be crazy lady. Sorry kumbe siyo lady
mbona umekitaja CHADEMA?Utakufa wewe na kuicha CCM inapete. CHADEMA ndiyo wanaweza kufa sio gar kubwa