mbavu nene
Senior Member
- Nov 17, 2012
- 102
- 85
Ccm kimekuwa chama kikongwe sana barani Africa ambacho mpaka Leo kipo madarakani lakini ni chama ambacho kwamiaka yote hiyo kimeshindwa kutufikisha watanzania mahali ambapo tulipaswa kufika kimaendeleo kulingana na rasilimali zilizopo nchini. Ni ukweli usiofichika Kwamba kuna wachache ndani ya Ccm Kwa muda mrefu wamekuwa wanufaika wakuu wa rasilimali za nchi wengine tukiumia.
Naufurahia mgogoro ulioanza ndani ya Ccm maana wanufaika na watu waliotutesa Kwa miaka mingi Kwa kula mkate Wa taifa peke yao wameguswa/wametikiswa na kiukweli hawatakubali ndio utakuwa mwisho wao pamoja na chama chao cha kifisadi. Watanzania sio wajinga tena waking'ang'ania chama wataachiwa ila watanzania tutaamua maana tuliwaona tukawasikiliza tukawapa nafasi lakini walituumiza sana sasa sisi tunamjua tunayemtaka vyovyote itakavyokuwa ila tutamchagua huyo.
Kwaheri Ccm yamafisadi mmetuumiza Kwa muda mrefu.
Hii nchi ni yetu sote.
Mwisho wa CCM ni mwaka 2020 ambapo chama hiki kitafutika kabisa ndani ya bara la Afrika na kusahaulika. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali kuwarudisha hawa mafisadi na wachumiatumbo wakubwa madarakani.
ikifa CCM kipi kiingie? vyama vya upatu ?
Utakufa wewe na kuicha CCM inapete. CHADEMA ndiyo wanaweza kufa sio gar kubwaCcm kimekuwa chama kikongwe sana barani Africa ambacho mpaka Leo kipo madarakani lakini ni chama ambacho kwamiaka yote hiyo kimeshindwa kutufikisha watanzania mahali ambapo tulipaswa kufika kimaendeleo kulingana na rasilimali zilizopo nchini. Ni ukweli usiofichika Kwamba kuna wachache ndani ya Ccm Kwa muda mrefu wamekuwa wanufaika wakuu wa rasilimali za nchi wengine tukiumia.
Naufurahia mgogoro ulioanza ndani ya Ccm maana wanufaika na watu waliotutesa Kwa miaka mingi Kwa kula mkate Wa taifa peke yao wameguswa/wametikiswa na kiukweli hawatakubali ndio utakuwa mwisho wao pamoja na chama chao cha kifisadi. Watanzania sio wajinga tena waking'ang'ania chama wataachiwa ila watanzania tutaamua maana tuliwaona tukawasikiliza tukawapa nafasi lakini walituumiza sana sasa sisi tunamjua tunayemtaka vyovyote itakavyokuwa ila tutamchagua huyo.
Kwaheri Ccm yamafisadi mmetuumiza Kwa muda mrefu.
Hii nchi ni yetu sote.
Umeandika kwa akili mno. Walikula sana wakavimbewa wakamteua ngosha wakidhani yatakuwa mazoea yaleyale kula na familia zao. Sasa kawagusa wanapiga kelele. Kama wanadhani CCM inapendwa wamguse. watabaki na CCM yao ila sisi bingwa tunamjua. Magu wanyooshe.Ccm kimekuwa chama kikongwe sana barani Africa ambacho mpaka Leo kipo madarakani lakini ni chama ambacho kwamiaka yote hiyo kimeshindwa kutufikisha watanzania mahali ambapo tulipaswa kufika kimaendeleo kulingana na rasilimali zilizopo nchini. Ni ukweli usiofichika Kwamba kuna wachache ndani ya Ccm Kwa muda mrefu wamekuwa wanufaika wakuu wa rasilimali za nchi wengine tukiumia.
Naufurahia mgogoro ulioanza ndani ya Ccm maana wanufaika na watu waliotutesa Kwa miaka mingi Kwa kula mkate Wa taifa peke yao wameguswa/wametikiswa na kiukweli hawatakubali ndio utakuwaWatabaki na CCM mwisho wao pamoja na chama chao cha kifisadi. Watanzania sio wajinga tena waking'ang'ania chama wataachiwa ila watanzania tutaamua maana tuliwaona tukawasikiliza tukawapa nafasi lakini walituumiza sana sasa sisi tunamjua tunayemtaka vyovyote itakavyokuwa ila tutamchagua huyo.
Kwaheri Ccm yamafisadi mmetuumiza Kwa muda mrefu.
Hii nchi ni yetu sote.
Matanga yatakuwa wapi?
Matanga watakuwa Matangani.Matanga yatakuwa wapi?
Kwa 2me iliyopo?Mwisho wa CCM ni mwaka 2020 ambapo chama hiki kitafutika kabisa ndani ya bara la Afrika na kusahaulika. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atakayekubali kuwarudisha hawa mafisadi na wachumiatumbo wakubwa madarakani.
Kama hakikufa wakati wa Lowasa anahamia Chadema usitegemea kitakufa kwa sasa.Ccm kimekuwa chama kikongwe sana barani Africa ambacho mpaka Leo kipo madarakani lakini ni chama ambacho kwamiaka yote hiyo kimeshindwa kutufikisha watanzania mahali ambapo tulipaswa kufika kimaendeleo kulingana na rasilimali zilizopo nchini. Ni ukweli usiofichika Kwamba kuna wachache ndani ya Ccm Kwa muda mrefu wamekuwa wanufaika wakuu wa rasilimali za nchi wengine tukiumia.
Naufurahia mgogoro ulioanza ndani ya Ccm maana wanufaika na watu waliotutesa Kwa miaka mingi Kwa kula mkate Wa taifa peke yao wameguswa/wametikiswa na kiukweli hawatakubali ndio utakuwa mwisho wao pamoja na chama chao cha kifisadi. Watanzania sio wajinga tena waking'ang'ania chama wataachiwa ila watanzania tutaamua maana tuliwaona tukawasikiliza tukawapa nafasi lakini walituumiza sana sasa sisi tunamjua tunayemtaka vyovyote itakavyokuwa ila tutamchagua huyo.
Kwaheri Ccm yamafisadi mmetuumiza Kwa muda mrefu.
Hii nchi ni yetu sote.
Uzuri wamekosa maarifa na busara wanajimaliza wenyewe. wapo kama wajenzi wa mnara wa babeli