Kifo cha CCM kimetimia

sisi kina gogo la shamba tulikwisha yaona hayo siku nyingi ndio maana sasa hivi wanaoibeba ccm ni polisi sio wananchi
 
Ccm msingi aliondoka nao Nyerere kwa sasa unabomoka kidogo kidogo! Ccm ipo kwa sababu ya dola peke yake
 
tutofautishe tulipotoka tulipo na tunakoenda watanzania wameamka mtanzania wa mwaka 1995,2000,2005, na 2010sio wa 2015
note:-watanzania wamechoka Tony Gwanco
 
Last edited by a moderator:
CCM wana mtaji mmoja tu wananchi wengi, wengi wa nchi hii hawana elimu. Na waliyo nayo wengi, wengi tu wameamua kuwa wachumia tumbo. Na pengine sambamba na hilo la kukosa elimu wamekuwa masikini mno hadi aibu! Subiri uone Kanga na Kofia zikianza kutolewa na magamba ndo utajua ninachoongea hapa! Du you think wanajua kinachoendelea mpaka ss? Kitakachowashtua ni kanga na kofia na wataishia kuuliza kwani kuna nn tena? Eeh Mungu wasaidie watoto wangu wapate elimu tu hayo mengine watazidishiwa!
 
kuanguka kwa ccm bado sana kwa kuwa watz wenyewe wanaopiganiwa haki yao hawatoi ushirikiano.
 
Na tena Mungu akaufanya moyo wa Sitta mgumu na wana CCM wote ili watanzania wazidi kuwachukia na kuwatoa madarakani.
 
Pesa si ni makaratasi tu?..hata kama haitapita kipi cha ajabu,si ndo maana wameweka kura ya ndio ama hapana?.
maanake kama lazima ipite eti kwasababu zimetumika hela nyingi si wasingeweka mambo ya kupiga kura,ingepitishwa tu.
 
Inahitajika mipango madhubuti kuitoa ccm madarakani, sio rahis kama tunavyodhani
 
mnajipa moyo kama ulivyojipa moyo 1995.2000.2005 na 2010

Na nyie munajipa moyo kuwa mutaendelea kuwapa 2015 na kuendelea.....Hembu vuta kumbukumbu nyuma kidogo Hali ya kisiasa ilkuwaje ukilinganisha na sasa,kura za JK 2005 na 2010....maisha yanabadilika Kamanda,Hali ngumu ya kimaisha ndio itakayowatoa CCM hapo walipo......Bila hata CDM,CUF,NCCR......soma maandishi ukutani.
 
Kama ndivyo then inatakiwa ufurahie sasa kwani si ndo unavyotaka iwe?.badala ya kuonyesha masikitiko na kukata tamaa.
 
Siyo rahisi hivyo kuiangusha CCM.

nani alijua kama kutakuwa na anguko la kura za uraisi mwaka 2010 toka 82% hadi 58% . Katika siasa au uchaguzi kila kitu kinawezekana kwani hakuna uchaguzi mdogo , .
 
Wananchi tumeisusa hiyo rasimu wanayotuletea kuipigia kura, mtapiga nyie mahafidhina na vizazi vyenu. Watanzania haka hamtatuona uko.
 
nani kakuambia kuwa aliyekuwa rais wa US kennedy alikufa kwa ajali ya ndege? yaani we bwe'ge umeshindwa hata ku-google tu? ama kweli wewe ni taahira kweli kweli.

 
Nyinyiemu walifikiri wameruka kiunzi cha serikali 3, ila kitanzi cha mahakama ya KADHI hakirukiki kabisa...hawakuamini kuwa katiba ni maridhiano ...

Mahakama ya kadhi ikiwepo kwenye katiba bila maridhiano katiba haitapita, isipowekwa kwenye katiba bila maridhiano vilevile haitapita...hapo chacha MTU mzima anaanguka
 
Siyo rahisi hivyo kuiangusha CCM.

nani alijua kama kutakuwa na anguko la kura za uraisi mwaka 2010 toka 82% hadi 58% . Katika siasa au uchaguzi kila kitu kinawezekana kwani hakuna uchaguzi mdogo , .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…