Neema William
Senior Member
- Jan 3, 2012
- 171
- 76
Kipigo kingine kwa CCM ni pale makaburini ambapo baada ya mazishi Rais na msafara wake waliondoka , na alipoanza kuondoka DK Slaa wananchi walianza kuimba Rais Rais, na kuwaancha vinywa wazi CCM,
watanzania wa sasa hawana woga tena kama zamani, hivi sasa ukikosea unapewa Kubwa tu
ni kawaida siku zote marehemu upendwa na kwenye msiba mwenye nguvu ni yule mwenye msiba. Mimi nadhani kama alivyosema Spika Makinda tusitumie misiba.
hongereni ila hiyo haitoshi elimu ya uraia, wajibu na haki za mpiga kura na kulinda na kutetea sera za chama ni muhimu, watu wachukue kadi zaidi wajifunze sera na kuzieneza ili uchaguzi ukifika wawe wakamilika
mwenye macho haambiwi tazama..............
ni kawaida siku zote marehemu upendwa na kwenye msiba mwenye nguvu ni yule mwenye msiba. Mimi nadhani kama alivyosema Spika Makinda tusitumie misiba.
mwenye macho haambiwi tazama..............
tasiri sahihi ya siasa ni kuwa siasa ni maisha ya kila siku....................na misiba ni sehemu ya hayo maisha................
Sahihi kabisa mkuu!elimu ya uraia inahitajika sana,mimi wewe na yule popote pale tulipo itolewe!cdm nao waache kujikita sana mijini,pembezoni nako kuna kura,matawi zaidi na yawe rahisi kufikika,kadi,scuff nk zikosekane matawini!hv vitu upatikanaji wake mgumu sana hata mijini,sijuhi kwa nini!vimahamsha hamasa hv!Moro yetu ina kila kitu ila imestuck kutokana na viongozi hovyo hovyo wenye mipango hovyo hovyo,tunahitaji waje kina Regia(R.I.P) zaidi ya 20 kuiamsha na kuikomboa Moro yetu na Tz kwa jumla,naamini ikiwa hivyo Regia nae atafarijika huko alipo
Hongereni wana Kilombero.
wee Molemo na wenzako,jibuni hoja acheni kuruka ruka.nyie ndio wafa maji hamjijui mlipo wala muendako.kila siku wafadhili wenu wanafata nini ikulu?wamefurahia juice ee,tutapa ushamba boy wasihangaike kuomba apointment kutupata.
ni kawaida siku zote marehemu upendwa na kwenye msiba mwenye nguvu ni yule mwenye msiba. Mimi nadhani kama alivyosema Spika Makinda tusitumie misiba.