Kifo cha CCM Ifakara; JK, Makinda wameshuhudia

ni kawaida siku zote marehemu upendwa na kwenye msiba mwenye nguvu ni yule mwenye msiba. Mimi nadhani kama alivyosema Spika Makinda tusitumie misiba.

Mbona yeye analitumia Bunge kwa maslahi ya CCM watu hawalalamiki. Acha na wengine watumioe nafasi zao.

Huu ni wivu tu usio na maana.
 
Kifo cha mpendwa wetu kimetuumiza sana maana tumepungukiwa wapiganaji,ila on the other side kimetoa picha kwa magamba kwamba hali ni mbaya kwa CCM huko Kilombero na Ifakara,na hii itakwenda hivi hivi nchi nzima na mwisho wa siku tutashinda vita ya mafisadi yanayoimaliza nchi na kuidumaza na hivyo kufanya wananchi wake kubaki masikini.
Hongera wananchi wa Kilombero na Ifakara kwa support mlioitoa na kwa kukiunga mkono chama cha CDM
 
Viongozi na makada wa Chadema wawaelimisha hawa wananchi kuwa kama kweli ni wapenzi na wanachama wa chama hicho basi hawana budi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na kupiga kura kuchagua chama chao na kuzilinda mpaka mshindi anapotangazwa. Hii zomeazomea bila kuchukua hatua haiwezi kamwe kuwaondoa madarakani watawala wasiowapenda sana sana inawapa nafasi ya kujipanga vizuri jinsi ya kuchakachua kura kwa nguvu zaidi, ari zaidi na kasi zaidi.
 
Mbona yeye analitumia Bunge kwa maslahi ya CCM watu hawalalamiki. Acha na wengine watumioe nafasi zao.

Huu ni wivu tu usio na maana.

Au huu ndio ule wivu wa kike tulioelezwa na mmoja wa viongozi wetu wakuu?
 
RAIS Kikwete hivi karibuni alishuhudia Live kifo cha CCM yake kule Ifakara katika mazishi ya mbunge wa viti maalum chadema Rejia Mtema.

ni ukweli ulio wazi kuwa kutokan na picha ile jamani CCM bye bye.

kazi ilianza pale msafara uliobeba mwili wa Rejia Mtema, kufika Kilombero mkoa wa Morogoro, msafara huo uliokuwa ukiongozwa na spika wa Bunge ana makinda na baadhi ya mawaziri wengine wa serikali ya Jk akiwemo Stephan Wasira, njia nzima ilikuwa ji salamu za chadema , ilikuwa bomba la mtihani kwa wanaccm kuitikia salamu ile ama Laah, nadhani ndio maana hata wakati wa kuaga mwili wa mbunge wa CCM Solomon Sumari makinda alidai kuwa tusichanganye siasa wakati wa misiba, its True aliliona hilo lakini wale ni wananchi wapenda chadema,ki ujumla kilombero , ifakara ni ngome ya chadema,

Kipigo kingine kwa CCM ni pale makaburini ambapo baada ya mazishi Rais na msafara wake waliondoka , na alipoanza kuondoka DK Slaa wananchi walianza kuimba Rais Rais, na kuwaancha vinywa wazi CCM,
watanzania wa sasa hawana woga tena kama zamani, hivi sasa ukikosea unapewa Kubwa tu

pia Tukio Lingine ni pale mbunge wa wa CCM Abdul Mteketa alipozomewa Live mbele ya viongozi wa kitaifa wa CCM, jamani picha Hii yote imemdhihirishia wazi Jk kuwa kifo cha CCM kimefika.

Join Date : 3rd January 2012
Posts : 9
Rep Power : 304
Sikushangai kwani ni mgeni !

 
kama hata huko ambako inajulikana ndio ngome ya GAMBA mambo yanaonekana kuwa magumu sijui 2015 watatokea wapi hao wazee wa POSHO nadhani wawe wapole tu wakubaliane na matakwa ya wananchi.
 
Mkuu hata ukiangalia walivyomuaga huyo mbunge wao aliyefariki hapo jana walifanya kuleta watu na kuwavika tshirt na kepu za ccm kama kawaida yao wakati cdm watu walienda wenyewe tena kwa cost zao

Kwenye kampeni wahudhuriaji hufuata taarab na kumuangalia Rejao akikatika viuno, kumbe na kwenye msiba napo mpk wawe motivated ndio wanahudhuria!
 
Ni matter of tym tu, CCM has eaten enough for the owner to see, kadri mwamko wa wananchi unavyokua ndivyo kifo cha CCM kinavyokuja, unless waamke sasa na kufanya kazi kwa maslahi ya umma na si matumbo yao.
 
Hongereni wanaifakara kwa kutambua lililojema na kuondokana jinamizi la ccm
 
Ila wafanye kweli isijekuwa ni magumashi 2, wakipitishiwa T- shirt, kofia na vitenge wavikatae kwani ni njia mojawapo ya rushwa, wananchi kwa ujumla wetu tuamke our destuny is in our own hands.
 
Kauli ya Makinda ni ya busara zaidi, tukiendekeza siasa mpaka misibani uko mbeleni tutashindwa kuzikana. CCM na viongozi wa serikali kwa ujumla wameonyesha mfano mzuri kwa kujumuika kwenye mazishi ya Regia(RIP) bila kujali itikadi zao. Je wasingefika si watu wangesema CCM/serikali haiwajali wananchi wake waliopo kwenye vyama vyingine? Siifagilii serikali ya chama tawala lakini kwa ili nawaunga mkono.

Hakuna llolote mkuu. CCM ndiyo wamepoliticise huu msiba.

Kabla ya Regia (RIP) kuna wabunge kibao walisharudisha number siku za nyuma lakini hawakuwahi kufanya haya waliyoyafanya kwa Regia. Mimi Nafikiri JF pia imesaidia kuupopularise huu msiba na kufanya media ihamishie attention kwenye huu msiba kiasi na kwamba serikali ya CCM ikabidi waingilie kati ili CDM wasipate mtaji wote. Hata sasa wana wakati mgumu ya kuhandle msiba wa bunge wao mteule Sumari ambao umechukuwa siku mbili tu kusahaulika. I hope JK na Anne atahudhuria mazishi.
 
Sitaki mbichi hizi za CCM kwa miaka nenda rudi kurudia rudia maneno yasiokua na mantiki yoyote kama hayo hapo kwenye RED hapo chini ...

Hivi unawaelewa vyema WATZ? kelekele nyingi sana mdomoni lakini vitendo sasa hakuna

tena ktk maeneo ambayo wala usipigie chapuo ya CDM ni Mkoa wote wa morogoro,wao wanatabia hiyo kama ilivyo humu Jf ya kuwa na maneno mengi lakini si wapiga kura

na kuhakikishia kuwa morogoro inahitajika elimu ya hali ya juu,sio tu kuja hapa na kuandika na watu kutoa maneno ukanadhani basi,ushindi unahesabiwa kwa kura na wala sio maneno mengi mdomoni

kama hamtafanya kazi ya ziada na mkakalia kuchukua kelekele za kushangiliwa ndio ushindi basi hapo mmepoteza mkuu,siasa haipo hivyo
 
Wana kilombero hilo tu halitoshi kumuita Dr Slaa Rais na kumzomea mbunge wa CCm, kazi iliyopo ni kuhakikisha mwaka 2015 jimbo linakuwa la CHADEMA kuwa kuendeleza kazi aliyoianzisha Regia ya kufua matawi kila kitongoji na ofisi za kudumu na kuleta wanachama wengi.
 
Back
Top Bottom