secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,480
Yeah, hapo kwa Putin umeongea point kubwa sana. Yeye ndiye mbabe wa kweli aliyebaki. Sijui nilimsahauje bwana Putin.Hao kobazi ni wachumba tu ache Babu Trump awashike Kalio
Wababe wenye akili ni Vladimir Putin na Kim
Nilikuwa namuona babu Trump kama dada zetu wa mlandizi maneno mengi hata kwenda kumsuta mwenzao waoga kumbe sio kweli ni mwamba haswa.Hao kobazi ni wachumba tu ache Babu Trump awashike Kalio
Wababe wenye akili ni Vladimir Putin na Kim
TFF siyo levo yangu kaka. Ngoja nianze kule AlShabab.Anzia TFF walau tuweze kupima uwezo wako ikiwa ni kweli una ubabe wowote au ni mtoto wa tandale mdomo mwingi vitendo mchekea
Sasa kule kaka kama sio ndugu yetu katika imani hauwezi kuaminika .TFF siyo levo yangu kaka. Ngoja nianze kule AlShabab.
Kweli kaka, lakini maajabu yanaweza yakatokea hadi wakakubali nijiunge nao.Sasa kule kaka kama sio ndugu yetu katika imani hauwezi kuaminika .
Ilibaki kidogo sana niwe member ila shida siku ya safari nikalewa nikaachwq kaka ,kwahiyo unaweza kuona ni namna gani unazungumza na mbabe mwenzio
Inaliza sana.Kinachoumiza zaidi ni jinsi top leaders wa Iran wanavyouliwa easy kama kukanyaga sisimizi.
R.I.P my brother Ayatollah,
Baada ya Osama Bin Laden na Saddam Hussein kuuawa mtu pekee ambaye nilikuwa namhusudu alikuwa Ayatollah.
Baada ya kusikia kifo Cha Ayatollah nimepoteza nililia sana Kwa sababu sioni kama Kuna mtu atavaa viatu vyake.
Akitokea mtu wa kuvaa viatu vya Ayatollah/ Osama Bin Laden/ Saddam Hussein au Hitler n.k nitafurahi sana maana Mimi napenda.sana kuona Dunia ikitingishwa na wababe.
Nikiona hajatokea yeyote mtingidha Dunia basi secretarybird naingia navaa viatu vya Ayatollah ama mmoja ya wababe niliowataja hapo juu.
Nataka mniombee 😎.
Hahaha 😂🤣.
Sijapenda hii picha ... 😂😂😂😂🤣🤣🤣 Kwa nini lakini 🤣🤣🤣😂