Kifo cha Andrew Sanga, What is next?

Huu ni upumba.vu wa hali ya juu. Wewe ni nani? Credentials zako ni zipi? Hata kutumia jina lako halisi JF huwezi ndiyo unataka upewe ushahidi. Halafu Kazi ya police, investigative agencies na ubalozi wa Tz USA ni zipi. Acheni kutafuta sifa za kijinga kupitia misiba.
 


Unashangaa nini sasa? Jamii kubwa ya watanzania ni watu wa magumashi na hawapendi kazi kutokana na kuwa incompetent.
 
"Mbwa ukimjua jina wala hakupi shida".


Njoo nyumbani uwaite mbwa wangu majina yao (Hitler, Sadam Hussein, Changudoa) wakusalimie. By the way, walisha mchana pumbu mlinzi wa Ultimate Security. Karibu sana.
 
Nchi nyingine watanzania wanaishi kama wakiwa. Balozi zina kazi ya kutuma maombi ya passport uhamiaji dar na kutengeneza madili wakati mambo ya msingi wameyakalia kimya.
Kweli kabisa mkuu wakati hao wageni wakija Tanzania wanaishi kama kwao vile
 
Nchi nyingine watanzania wanaishi kama wakiwa. Balozi zina kazi ya kutuma maombi ya passport uhamiaji dar na kutengeneza madili wakati mambo ya msingi wameyakalia kimya.
Kweli kabisa mkuu wakati hao wageni wakija Tanzania wanaishi kama kwao vile
 
Kama witness hana makaratasi lazima aogope kusombwa na ICE
Mkuu,japo vijipost vyako si vya aya nyingi,lakini vinabeba ilm nzuri sana.

maswala ya makaratsi si tu huko ughaibuni,hata huku mavumbini yapo.

ukizinguana na mhindi,mchina au mtu ambaye si raia wa tanzania,atakuwa radhi mmalizane kishkaji lakini msifikishane polisi.

Maana anajua akifika tu polisi osterbay au chang'ombe,polisi wetu walivo na njaa lazima watachomekea maswali kuhusu uhalali wa ukaazi wake.
 
Mjomba hao wajomba wa ICE wasikie hivyo hivyo tu esp. kama mtu uko US na karatasi huna.
 
Public internet service utaipata kwenye public libraries only, na isitoshe kwenye hizo libraries kuna CCTV inamulika 24/7. Wajomba wakiipata ip address iliyotumika kutuma huo ushahidi wako wataenda kwenye hiyo library na watakuona tu kwenye records zao. Hujasepa hapo.
Hakuna public internet Walmart, K-mart, Target, Publix, Kroger, etc.
Ukiituma via your home network ip address ya device yako itakuwa traced, basi cable/internet provider wako kama ni Comcast, AT&T, Time Warner etc akibanwa na wazee atatoa records zako na utamsikia Sherrif anakugongea hodi. Sasa hapo kama karatasi zero ujue ni safari ya immigration detention kisha bongo unaitafuta.
There's no hiding while in US
 
mie nashangaa watu wanasema marekani mauaji yamekuwa mengi, jana tu nimepoteza ndugu 7 kwa mpigo kwa kukatwa na mapanga hapo hapo Tanzania, you call that safe?....this world is not safe anymore, whether uko Tanzania au majuu. ni kumuomba Mungu tu
 
Diaspora huko majuu si muanzishe mfuko/umoja angalau kwa mwezi mnachangia 50 USD ili ikitokea shida mnatoa kwenye mfuko huo kuliko kuitana harambee kila mtu akifariki? Siku wakafa 5 kwa mpigo si ndo itakuwa aibu jamanii? Kwani huko ughaibuni mnafanya kazi gani ndugu zetu?
 
Yap, nimekaa Queens for more than 20 yrs
 
Ukiwa cross examined na defense attorney na akikutupia hilo swali kuwa "are you a citizen or legal permanent resident of US?" Utajibu vipi?
Unatumia 5th amendment kwamba u dont have to answer it or answer something that incriminates you
 
Mauaji kila kesehemu ni lazima yakemewe...pamoja na demokrasia yao ya kufa mtu (wasemavyo kwa Trump) nashangaa Watanzania wako kimya kwenye hili...hata Mange?!
 
Nasubiria jibu mwaka wa pili sasa silioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…