DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mamlaka ya Uangalizi wa Polisi Huru (IPOA) nchini Kenya imewakamata raia watatu kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Albert Ojwang’, aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha akiwa mikononi mwa polisi.
Watuhumiwa hao; Gin Abwao, Collins Ireri, na Brian Njue walikuwa wakishikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Nairobi wakati ambapo pia Ojwang’ alikuwa akishikiliwa hapo.
Chanzo:swahilitimes
Watuhumiwa hao; Gin Abwao, Collins Ireri, na Brian Njue walikuwa wakishikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Nairobi wakati ambapo pia Ojwang’ alikuwa akishikiliwa hapo.
Chanzo:swahilitimes