DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 242
- 680
Kwani hakuna simu huko?Unaweza kumpigia mtu simu akiwa gerezani?
Unajua maana ya KARMA?Kwahiyo alikufa kwa ajili ya dua yenu? Na mm Kuna mtu kanidhulumu nifundishe maombi ya kumuuwa kama ni kweli
Kiburi cha maisha na madaraka.
Hatuwezi kukufundisha kwasababu hata wewe lazima umedhulumu tu wengine. Subiri tu ufe kwa aibu kwa kuzungushwa zungushwa na machela kama Jiwe.Kwahiyo alikufa kwa ajili ya dua yenu? Na mm Kuna mtu kanidhulumu nifundishe maombi ya kumuuwa kama ni kweli
Sasa Jiwe hakufa kwa aibu, hapo umepuyanga!Hatuwezi kukufundisha kwasababu hata wewe lazima umedhulumu tu wengine. Subiri tu ufe kwa aibu kwa kuzungushwa zungushwa na machela kama Jiwe.
Lilikufa kwa aibu na sasa linachezea vitasa vya hatarii huko kuzimu!Sasa Jiwe hakufa kwa aibu, hapo umepuyanga!
Alikufa ila si kwa aibu! Unajua kifo cha aibu wewe? Tuanzie hapo, suala la kuchezea vitasa lipo na halikwepeki kama alifanya maovu. Suala ni kuwa hakufa kwa aibu.Lilikufa kwa aibu na sasa linachezea vitasa vya hatarii huko kuzimu!
Yaani bado anakutesa japo kafa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa alimtumbua mzee wako au ndugu yako? Au wewe ni mhitimu wa chuo kikuu usiye na ajira? Kutembezwa kwenye machela si aibu ni heshima na hadhi ya kiongozi mkuu wa nchi.Lilidhani litaishi milele matokeo yake Lilikufa kwa aibu likizungushwa zungushwa na machela likiwa unconscious. I hate him
unafurahia kifo cha askari auSerikali DHALIMU ya mwendazake ilimshtaki ndugu yangu mmoja kwa kesi ya uhujumu uchumi. Akakamatwa, biashara zake zikafungwa, na fedha zilizokua kwenye akaunti zake zikachukuliwa. Akakaa rumande zaidi ya mwaka mmoja bila dhamana.
Akaacha mtoto wa miezi mitatu nyumbani. Mtoto akadhulumiwa haki yake ya malezi ya baba. Yeye anadai hakufanya jinai isipokua aliadhibiwa kwa sababu za kisiasa. Askari upelelezi wa kesi yake siku moja alimuapia kuwa UTAFIA JELA.
Tulipoenda kumtembelea magereza akatuambia kwamba ameambiwa na mpelelezi wa kesi yake kwamba atafia jela. Tukatafuta namba ya simu ya huyo mpelelezi kumuuliza kama ni kweli alitamka maneno hayo. Akaishia kutukana matusi mazito.
Mtoto akaendelea kukua hadi kufikisha mwaka mmoja bila kumfahamu baba yake mzazi. Mama yake akaenda kanisani akalia kwa uchungu na kumkabidhi Mungu kesi hiyo. Wafanyabiashara wenzake wakamtaka akiri ili afanye "plea burgaining" alipe na aachiwe lakini akasema hawezi kukiri kosa ambalo hajalifanya. Akasota jela zaidi ya mwaka mmoja.
Mapema mwaka huu yule mpelelezi akakutwa amefia nyumba ya kulala wageni, akiwa uchi na madawa ya kuongeza nguvu za kiume pembeni. Inadaiwa alikua na mwanamke lakini mwaanamke huyo hakufahamika. Habari yake "ikafichwafichwa" ili kuepusha aibu kwa Jamhuri.
Miezi michache baadae (Mama akiwa tayari madarakani) ndugu huyo akafutiwa kesi yake na kuachiwa huru bila masharti yoyote. Akaunti zake zikafunguliwa na baadhi ya fedha zikarudishwa (si zote). Akaanza maisha upya. Jumapili moja tukafanya ibada ya shukrani kwa ajili ya wema ambao Mungu amemtendea, baadae tukawa na tafrija kidogo nyumbani kwake Mbweni.
Kwenye ile tafrija akasema "nimesahau kumualika rafiki yangu mmoja, askari upelelezi aliyeniapia kuwa nitafia gerezani. Ningefurahi angekua hapa kushuhudia ukuu wa Mungu kwamba sijafia gerezani" Lakini tukamwambia alishakufa. Alifia nyumba ya kulala wageni. Kifo cha aibu.
Malisa GJView attachment 1991865
Tanzania is safe now after his deathYaani bado anakutesa japo kafa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa alimtumbua mzee wako au ndugu yako? Au wewe ni mhitimu wa chuo kikuu usiye na ajira? Kutembezwa kwenye machela si aibu ni heshima na hadhi ya kiongozi mkuu wa nchi.
Sani Abacha ndiye alikufa kwa aibu! Ila in short jamaa alikuwa anaboa upande fulani, mimi mzee wangu mpaka leo hajapata mafao yake, Jiwe aliyaminya! So sad!
Ila anyway, ngoja tugange yajayo na huyu mama!Tanzania is safe now after his death
Sorry sikukuelewa vizuri kaka!Tanzania is safe now after his death
Soma kwa umakini ndg.Unaweza kumpigia mtu simu akiwa gerezani?