Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Mar 18, 2015 #21 Where is Dr Ayoub?
Fundisi Muhapa JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 4,422 Reaction score 2,115 Mar 18, 2015 #22 Dah.... hii ngumu
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Mar 18, 2015 #23 Andrew,unaonaje ukaandika kitabu kuhusu Mwalimu Nyerere ukaandika mengi ambayo watu wa dunia ya nje hatukuwahi kufahamu?????
Andrew,unaonaje ukaandika kitabu kuhusu Mwalimu Nyerere ukaandika mengi ambayo watu wa dunia ya nje hatukuwahi kufahamu?????
Gwamahala JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 3,925 Reaction score 2,328 Mar 18, 2015 #24 Mc Tilly Chizenga said: Andrew,unaonaje ukaandika kitabu kuhusu Mwalimu Nyerere ukaandika mengi ambayo watu wa dunia ya nje hatukuwahi kufahamu????? Click to expand... Mkuu...hicho kitabu utakielewa?
Mc Tilly Chizenga said: Andrew,unaonaje ukaandika kitabu kuhusu Mwalimu Nyerere ukaandika mengi ambayo watu wa dunia ya nje hatukuwahi kufahamu????? Click to expand... Mkuu...hicho kitabu utakielewa?
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,686 Mar 18, 2015 #25 Gwamahala said: Mkuu...hicho kitabu utakielewa? Click to expand... wahariri watasaidia kunyoosha!lakini watapasuka kichwa!tatizo jamaa ana akili zilizopitiliza
Gwamahala said: Mkuu...hicho kitabu utakielewa? Click to expand... wahariri watasaidia kunyoosha!lakini watapasuka kichwa!tatizo jamaa ana akili zilizopitiliza
juniour12 JF-Expert Member Joined Sep 18, 2013 Posts 407 Reaction score 378 Mar 18, 2015 #26 Huwa natumia muda mrefu kumuelewa mkuu Andrew yaani hadi kichwa kinauma...Anyway ngoja nikomae tuu.
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,347 Reaction score 80,220 Jul 19, 2018 #28 kwamtoro said: @FaizaFoxy waswahili mlimshidwa Nyerere makaivamia familia yake. Waswahili nyinyi wabaya sana Click to expand... hahahaa jf bwana
kwamtoro said: @FaizaFoxy waswahili mlimshidwa Nyerere makaivamia familia yake. Waswahili nyinyi wabaya sana Click to expand... hahahaa jf bwana