Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Mi najua habari hii.
Sio kweli. Mama maria unayemuongelea ni muuza ubwabwa hapa tandale.
JK Nyerere alitoa maagizo ya kuwa kifimbo chake akifa akabidhiwe mbowe! ni lini yamefanyika hayo makabidhiano na wapi?Nalog off
utafiti wa kazi gani mie hata wanakokaa sikujui,watajuana wenyewe na kifimbo chao.ɟɟo ƃoןɐunimesikia tetesi hizo ndo maana nimewasilisha kwenu wadau na wewe unaniuliza tena?fanya utafiti na wewe
JF zaidi ya burudani
bishaneni weeee, mi ngoja nisikilize mapambio
utafiti wa kazi gani mie hata wanakokaa sikujui,watajuana wenyewe na kifimbo chao.ɟɟo ƃoןɐu
ndio nakaribia sasa hivi ɟɟo ƃoןɐuhahaha hujalog off bado?
umeona eh! ushindwe wewe tu.ɟɟo ƃoןɐuJF zaidi ya burudani
Ahsante kwa taarifa.ɟɟo ƃoןɐukifimbo cha nyerere kipo Butiama kwenye Jumba la makumbusho ya nyerere. kwenye hilo jumba kuna hata saa alizokuwa anavaa, suti aliyovaa siku anaenda hosptali kwa mara ya mwisho, vibaragashia na viatu.fimbo za nyerere zipo tatu. ya kwanza ni ile aliyotumia wakati wa kutafuta uhuru ilikua kama bakola, nyingine ni ile aliyokuwa anatumia baada ya kuwa Rais na nyingine ambayo ni ndogo kuliko zote alikuwa anaitumia anapoenda sehemu mbalimbali. sasa sijui wewe unasema ipi. mia
kifimbo cha nyerere kipo Butiama kwenye Jumba la makumbusho ya nyerere. kwenye hilo jumba kuna hata saa alizokuwa anavaa, suti aliyovaa siku anaenda hosptali kwa mara ya mwisho, vibaragashia na viatu.fimbo za nyerere zipo tatu. ya kwanza ni ile aliyotumia wakati wa kutafuta uhuru ilikua kama bakola, nyingine ni ile aliyokuwa anatumia baada ya kuwa Rais na nyingine ambayo ni ndogo kuliko zote alikuwa anaitumia anapoenda sehemu mbalimbali. sasa sijui wewe unasema ipi. mia
umeona eh! ushindwe wewe tu.ɟɟo ƃoןɐu
JAMA KUNA TETESI ZINASEMA KUWA FREEMAN AIKAELI MBOWE NI MTOTO WA JULIAS KAMBARAGE NYERERE, hawa wanaoeneza hili wanadai kuwa enzi nyerere akidai uhuru alikua best friend wa mume wa mama yake mbowe hvy mzee huyo alikuwa anamwamini sn nyerere hvy wkt mwingine alipokua anaenda kwenye mishemishe zake nyerere alikuwa anaenda kwake na ndipo mama aikaeli alipopata mimba ya mzee jk na akamzaa mwana ambaye ni freeman mbowe, na wanaenda mbali na kusema nyerere alimpenda mbowe klk wanawe wote hvy akampa fimbo yk. MI SIJUI KM NI KWELI AU UZUSHI... ila